Mwanangu ananirekodi video za uchi nikioga na nikilala

I can imagine the feeling. Kwamba umetelekezwa na mwanaume ukapata shida sana mpaka ukasimama mwenyewe. Na haikuwa rahisi lakini ukimuona mwanao unapata nguvu ya kupigana umpe kila kitu asikose chochote. Mwanao anakuwa kila kitu chako full kumdekeza without knowing unakosea sana.

Sitarajii akina Mama kuja hapa na kumtukana huyu Mama wa Mtoto. Hii ni scenario ambayo inatugusa hata kama hatujafika hiyo extent aliyofika yeye. Tunapokuwa wazazi pekee kwa watoto wetu (single mothers) basi tunakuwa karibu na watoto wetu sana. And sometimes not in a healthy way even though we do not mean any harm.

Ndo yamemkuta mwenzetu. Hakujuwa when to stop doting on her son. Matokeo yake impact kwa mtoto tumeiona. I believe in the child's innocence as much as I believe in the Mother's innocence.

Solution is that the Kid should definitely be counseled.

As for the men bashing the lady. Stop being a sperm donor. Only make babies you can raise. Shubaaaamit.
 
I can imagine the feeling. Kwamba umetelekezwa na mwanaume ukapata shida sana mpaka ukasimama mwenyewe. Na haikuwa rahisi lakini ukiniona mwanao unapata nguvu ya kupigana umpe kila kitu asikose chochote. Mwanao anakuwa kila kitu chako full kumdekeza without knowing unakosea sana.

Sitarajii akina Mama kuja hapa na kumtukana huyu Mama wa Mtoto. Hii ni scenario ambayo inatugusa hata kama hatujafika hiyo extent aliyofika yeye. Tunapokuwa wazazi pekee kwa watoto wetu (single mothers) basi tunakuwa karibu na watoto wetu sana. And sometimes not in a healthy way even though we do not mean any harm.

Ndo yamemkuta mwenzetu. Hakukuwa when to stop doting upon her son. Matokeo yake impact kwa mtoto tumeiona. I believe in the child's innocence as much as I believe in the Mother's innocence.

Solution is that the Kid should definitely be counseled.

As for the men bashing the lady. Stop being a sperm donor. Only make babies you can raise. Shubaaaamit.
I knew someone would find a way to put the blame on men. There are millions of single moms out there, raising their kids with proper morals. There is no way we're going to accept the blame of a mentally disturbed woman who thinks it's fine to undress infront of her nine year old son!

Last but not least, the reason we have sperm donors is because there is a good number of sperm recipients out there. The supply equals the demand!
 
Take a deep breath and read my input again. I have definitely stated that she was wrong and provided a solution to the problem.

Take a chill pill man. Damn.
 
Huyu idd makengo ni muandishi mzuri Sana wa stori
Ameteka soko la kina mama huko nadhani ni mfanya biashara anafanya or kuandika chochote ili apate wasomaji na kutamgaza biashara yake huko kwenye halaiki ya fb na insta.
Binafsi nilishawahi mfollow na kumfatilia Ila badae nikaachia sababu nilionao kabisa nadanganywa hasa na story zake.
Anawajaxa mabinti na wamama viburi kwa upande wangu ningefata mafundisho yake yalio mengi ningekua nimeshabwagwa
Acha kumchafua Kaka wa watu kwa ubaya yeye huletewa na wadau.Kwani kwenye jamii haya hayapo??yapo Sana.Pia hii style yake ni.kama ya Yule jooromofin wa Nigeria .That is real and is happening in our daily life so learn
 
Ni wakati wa .......
JamiiForums-1237641060.gif
 
Ukiangalia saaana, utakuta ndio wale ma super woman,..... kwa kweli siku hizi madada mnajipaga moyo kwa kulea watoto hata pale mwanaume akiwa hajakataa mtoto. Kukitokea kukosana kidogo mnaona bora muishi na mtoto mulee peke yenu....

Ni hivi malezi sio provision of money only..... huyo kuna siku atakubaka kabisa, ngoja kitombo tuu.

Mtotot akifika 5 years anajiogesha mwenyewe na hakuna kuoga na mtoto pale tuu anapoanza kuongea
 
Kuna vitu kwenye hii dunia ni kichefu chefu sana,huu ni uchafu uliopitiliza.Kweli utandawazi unatupeleka kubaya sana,hebu angalia mwenye we anavyojisifia 'Mwanangu ana uhuru na simu yangu na ni mtundu sana, ana akili sana na mara nyingi kwenye simu yeye ndiyo hunielekeza baadhi ya vitu',hajui kuwa hili nalo ni tatizo...!
 
Back
Top Bottom