Mwanangu anajishika sehemu za siri je ni kawaida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanangu anajishika sehemu za siri je ni kawaida?

Discussion in 'JF Doctor' started by sweetdada, Apr 5, 2012.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wandugu wapendwa nnatumai mu wazima.

  Jamani kuna jambo lanitatiza hii wiki ya tatu sasa mwanangu wa kike wa miaka miwili na nusu ukitoka kumuogesha anajishiak private parts zake afu anacheka na pia hushika chuchu na kuniuliza hii nini..najiuliza kwanini anafanya vile sipati jibu??je ni kawaida au kuna jambo laendelea,sitaki hata kuwaza uuwii..

  naomba michango yenu yenye busara tafadhali.

  Sweetdada
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Jamani anaexplore mwili wake, and it is okay. Usimkataze she is honest na anatakiwa kuwa hivyo. Kama unamkataza mpe sababu ambayo ni ya msingi otherwise unaweza kuanza kumlimit na kumjengea woga, na kutojipenda na kujithamini kusiko na mpango.
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Fuga mbwa mapema
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ahhhhhhhhahahahhahahahahahahahahahhaha aisee huyo basi akifika miaka 7 angalia sana
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  akuna mtu anamchezea kwa bibi kwake ?mabazaz wengi isije ikawa kunamtu anamchezeaga ndomana anaona poa tu kuendelea kujichezea
  au ana magonjwa uko chn...ebu nenda hospital mkamchunguze ....
   
 6. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kusema ukweli huwa akifanya hivyo namwambia tu kwa upole akae vizuri na akiuliza hii nini namwambia,ila nimekuwa nikiwaza kama ni kawaida kuwa hivyo au la!!nashukuru kama ni part of exploration.
   
 7. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sidhani kama ana magonjwa mana hii tabia anaifanya akitoka kuoga tu na sio kila wakati.ila nitaendelea kuobserve kwa kina nione..duu inaogopesha kwa kweli..mijibaba siku hizi ni noma
   
 8. w

  wa home JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  uyo mtoto kuna m2 anamchezea anamshikashika, mchunguze unaweza kupuuza ukaja kuta hakuna bikra usipuzie dada.
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Unajua waswahili wengi, tunawafanya watoto wetu waone sex part ni kitu kichafu na cha aibu. Hii ina madhara makubwa sana ukubwani. Unahitaji mtu wa nje akusifie ndipo ujione wa maana au mwenye thamani. Kikubwa tunatakiwa kuwaeleza watoto wetu ABC zote za maisha (including sex life) ili waweze kuja kufanya informed decision wakiwa wakubwa. Hii ni kwa mtazamo wangu lakini, nina experience ya kulea mtoto wa kiume na si wa kike.

  soma hapo chini
  I had the same issue when my daughter was about 2. I went to her peditrician and spoke to him about it. He said not to make a big deal about it as that would just make matters worse. I let her explore in the tub, but that did not seem to satisfy her. She would try taking off her pants to "check out" stuff down there. Finally I could not stand it any more so I figured that if she wanted to know what she had down there the best way was to see it. So I took off her diaper and set her down on a mirror so she could see her genitals. She fiddled with them for a few minutes, checking every aspect then when she was done she got up and started walking away. I asked her if she was done with the mirror and she said yes. I gave her one other time with the mirror one night after her bath where she could hold a mirror to check things out before her diaper and pjs were put on. After that she seemed to know what she had and no longer was interested in investigating. Try it, it seemed to work for us.
   
 10. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  kampime mamake, ni mjamzito,fanyafaster.bado ananyonya?mamake anamombai
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Majibu mengine hayo

  Don't worry, it's completely normal. I work with two year-olds and I see it all the time. Young children are curious about their bodies, and there are a lot of nerve endings in our genitals, so it feels pleasurable. Treating this behavior as bad could seriously affect her body issues later in life. I would simply teach her about her body, like naming body parts, and explain that this behavior is best done in private, not in front of other people.

  The only concern I would have are the objects - sharp objects or very small objects could hurt her and damage her genitals. Just be aware.

  Best of luck!
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Hii iliwahi kutokea kwa mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa mwaka 1.8,kila akimuona housegirl anaenda kumshika matiti na kumfunua nguo,me nikawa najiuliza ni nini kinaendelea?kumbe asubuhi tukienda kazini kuna njemba inakuja kula vitu na housegirl huku mtoto anaona,si ndio nae aka copy na ku pest aloo nilimtimua fasta,
  sasa angalia na wewe usije ukawa unamuacha na hosegirl/houseboy akawa anashuhudia mambo na yeye anaiga.
   
 13. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Je, ni muda wote toka azaliwe unaye muogesha ni wewe tu?
  Kuna rafiki yangu alikuwa na msichana wa kazi ambaye ndiye aliyekuwa anashinda na mtoto muda mwingi. Siku ambayo mama ameshinda na yule mtoto na akapata nafasi ya kumuogesha akaona mtoto anadai ashikwe sehemu zake jeti za kiume. Kummuliza mshichana wakazi ... akagunduwa ndiyo ulikuwa mchezo wake. Mtoto akajenga tabia na kuona ni haki yake kuchezewa baada ya kuoga.
  Hivyo angalia historia ya mwanao kama aliwahi kushinda na mtu mwingine zaidi ya wewe.
  Au labda ni utoto na udadisi wake tu.
   
 14. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  mie kuna rafiki yangu mwa6nae alikua añamwambia amnyonye chululu kuchunguza kumbe hsgl alikua akitaka kumbembe
  leza alale ndio anamyónya mpaka mtoto analala kwahiyo embuchunguza vzr


  0
   
 15. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  nyie mna mambo kweli
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...labda wakati unamsafisha huko anahisi kitu flani. Au ameona "pilau" au anachezewa na mtu. Muulize taratibu atakuambia kinachoendelea.
   
 17. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu kibaya ila cha msingi ni jaribu kuspend more time with ur child, usijibidishe sana. La Sibyl utauliza mentioned sana.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ngoja nitarudi
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kuna njemba itakuwa inazichezea nyeti zake kwa hiyo naye anaamua kujifanya mwenyewe. Usimkataze lakini muache apate utamu na yeye
   
 20. f

  furahi JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mahosegirl nao wamekuwa ibilisi sana cku hizi , isije ikawa huwa anamchezea. Lazima kuna chanzo usipuuzie ndugu yangu
   
Loading...