loupa
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 121
- 72
Habari za kazi.
Mwanangu amepata tatizo la kutokwa na uchafu ukeni hasa wakati wa usiku
Kila siku asubuhi anapoamka nikimkagua nakuta ametoa uchafu ukeni kwake kiasi cha kulowesha hadi chupi yake kidogo. Japo yeye halalamiki kupata maumivu ila mimi imenishtua sana.
Naomba wataalamu mnisaidie
Natanguliza shukrani kwa maoni yenu.
Ahsante,

- Tatizo nini?
- Inasababishwa na nini?
- Nifanye nini kumrudisha mtoto katika hali yake?
Natanguliza shukrani kwa maoni yenu.
Ahsante,