sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Habari wanajukwaa, nimeona niseme maana nami ilinitokea kwa mchepuko mmoja kunilazimisha nizame chumvini na mimi sipo willing kufanya hivyo ikabidi tuachane.
Rafiki wa rafiki yangu aliyeingia kwenye ndoa juzi juzi kakumbwa na hili toka kwa mkewe, kumtaka azame chumvini, kama hataki, hakuna kugegedana.
Bila shaka wapo waliokwishakumbwa na jambo kama hili, pia wapo waliofanya hivyo, na zaidi zaidi wapo wasiopenda kabisa kwa jinsi zote kwakuwa kuna tahadhari kutoka kwa madaktari kuwa mwanaume anaweza akapatwa na kansa ya koo.
Sasa nawaulizeni kaka zangu na dada zangu, kuzama chumvini ni lazima hasa kwa wanandoa hadi mtu anamnyima mwenzake unyumba?
Tena wapo wanaolazimisha tigo kwa wake zao kisa amemwoa, hili nalo ni sawa?
Neno KULAZIMISHA nimelitumia kama KUSHAWISHI KWA NJIA YEYOTE lakini mwenzako hataki.