Mwananchi_ Official asanteni kwa kunitia nguvu kutokufikiria kufanya PhD yangu

Hebu weka mifano ya watu wa sampuli hiyo walivyosaidia nchi tuwatazame ili tujue kama bado tunawahitaji kwenye jamii.

Mimi naanza na wa kwanza ni Dr Bana.
Wasomi sio kwamba hawana faida tatizo wanafanya kile wasichotakiwa kufanya

Wasomi wa walioleta elimu wako maabara na kwingineko wakifanya makubwa

Hawa wa huku wako kwenye siasa
 
Back
Top Bottom