Mwananchi wa kawaida akiua ananyongwa, mbuge anaachiwa huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwananchi wa kawaida akiua ananyongwa, mbuge anaachiwa huru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Nov 12, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa kuielewa hukumu ya aliyopew mh.mmoja mbunge wa jimbo moja la huko Nyanda za juu kusini.Amethibitika kuua kwa kukusudia lakini amepewa hukumu ya kulipa laki kadhaa au kifungo cha miezi sita jela.Hii sijui imekaaje....
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huo ni uzushi.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nadhani alitishia kuua...
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ametishia kuua.....
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  jimbo gani hilo? kama kesi ishaenda mahakamani na kutolewa hukumu, ya nini unaficha hivi? au ni story tu?
   
 6. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Kama umeshindwa kuelewa,kwanza ilipaswa kujifunza au kuuliza sheria imekaaje kwnye hlo then ndio ungekuja na sredi yako.
  Ok,mbunge hakuua bli alitaka kuua.Kwhyo hapo ipo tofauti kubwa ya vifungu.
  Tusubiri wataalamu waweke mambo sawa.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Fuatilia vizuri mkuu, "alitishia kuua" na amehukumiwa kulipa laki TANO au kifungo cha MIEZI KUMI! amelipa na kuachiwa huru. Twendeni kwa data jamani!
   
 8. B

  Buto JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli wewe ni kilaza. Huyo Mbunge amemkill nan na wapi?
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  JF great thinkers
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  hakutaka kuua bali alitishia kuua.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  We jamaa utakuwa una matatizo. Mbunge alitishia kuua, hajaua mtu yeyote.

  Mf. Unaposema "nitakuua" hata kama hauna silaha hilo ni kosa. Umemtishia maisha.
   
 12. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  udesi beh
   
 13. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhe.Mbunge amehukumiwa kwa kosa la kutishia kuua kwa maneno.Tafadhali tuwe makini tupo toa hoja kama hasa zinazogusa maisha ya watu kama hii .Mtoa maada maanza kwa mtindo wa lawama
   
 14. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,032
  Likes Received: 7,434
  Trophy Points: 280
  Alikutwa na hatia ya kutishia kuua na si kuua....
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Asante kwa marekebisho
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Agreed.
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Imesharekebishwa mkuu,tuliza bongo.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa kuweka mstari vizuri.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kimsingi nawashukuru wote mliorekebisha usemi huo,wengine walitaka kunimeza.
   
 20. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mkuu.
   
Loading...