Wazo ni zuri ila kwa jinsi tulivyo furugwa huu ni uchocheziWanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021!
Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya wachapwaji.
Huenda viongozi hao wana sababu za msingi au hawana - wengine huwachapa bakora wakosaji kwa provocation, wengine hufanya hivyo waonekane miamba, na wengine wameenda mbali mpaka wanaadhibu kwa push-ups watumishi jeshini kama Dkt Kigwangala nk.
SASA
Wewe mwananchi kama ungekuwa na mamlaka ya kuwachapa bakora viongozi au watawala ungemchapa nani na kwa sababu zipi?
= Ungemchapa kiongozi kwa kuwa ameshindwa kukufikishia maji kijijini?
= Ungemchapa kwa kuwa ameshindwa kuwa mbunifu wa vyanzo vya mapato ya Halmashauri / Wilaya?
= Ungemchapa kwa kuwa kijana wako kakosa mikopo ya elimu ya juu?
= Ungemchapa yupi sababu ya vijana wetu kukosa ajira katika vijiji, kata na wilaya?
Mwisho, nashauri viongozi wauweke pembeni utamaduni wa kuwachapa watu bakora na baada yake wajielekeze kwenye Sheria.
******** **********
Nimegundua kuwa wengi wetu hatuna sababu mahususi za kulaumu wale wanaochapa bakora - lkn pia wengi wetu tunasukumwa na kasumba ya visasi - kwa nini umcharaze mwenzako bakora?
Wako wa kikubwa uko wapi?Uzi wakitoto huu.
mollel alisema Mbowe.Alicharazwa na nani mkuu'.
MboweMambo sasa
Hahahaha pimbi mkubwa, dua la kuku. Mpigie kura Dkt Magufuli ALMMie sitomchapa mtu ILA ningeomba kuwapiga kwa short ya umeme vijana wote wa 'lumumba' huenda baada ya hapo akili zao zitakuwa na akili kwani vichwa vyao ni vizito mno mno.
Meko! Ningepiga bakora niue kabisa! Ng'ombe kabisa hii!
Kwenye Pumbu.Wako wa kikubwa uko wapi?
Itategemea mtu katafsiri vipi - kufahamu mawazo ya watu ni ushindi kwako mtawala - hata hivyo humu sioni hoja za watu kukosa elimu, maji, umeme, barabara, afya nkWazo ni zuri ila kwa jinsi tulivyo furugwa huu ni uchochezi
Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021!
Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya wachapwaji.
Huenda viongozi hao wana sababu za msingi au hawana - wengine huwachapa bakora wakosaji kwa provocation, wengine hufanya hivyo waonekane miamba, na wengine wameenda mbali mpaka wanaadhibu kwa push-ups watumishi jeshini kama Dkt Kigwangala nk.
SASA
Wewe mwananchi kama ungekuwa na mamlaka ya kuwachapa bakora viongozi au watawala ungemchapa nani na kwa sababu zipi?
= Ungemchapa kiongozi kwa kuwa ameshindwa kukufikishia maji kijijini?
= Ungemchapa kwa kuwa ameshindwa kuwa mbunifu wa vyanzo vya mapato ya Halmashauri / Wilaya?
= Ungemchapa kwa kuwa kijana wako kakosa mikopo ya elimu ya juu?
= Ungemchapa yupi sababu ya vijana wetu kukosa ajira katika vijiji, kata na wilaya?
Mwisho, nashauri viongozi wauweke pembeni utamaduni wa kuwachapa watu bakora na baada yake wajielekeze kwenye Sheria.
******** **********
Nimegundua kuwa wengi wetu hatuna sababu mahususi za kulaumu wale wanaochapa bakora - lkn pia wengi wetu tunasukumwa na kasumba ya visasi - kwa nini umcharaze mwenzako
Bange tupu kichwani mwako!Ningemchapa lisu viboko sita jamaa aliamua kuwakumbatia Sana mabeberu.
Hawawezi kuwa wote waliokukosea - hata hivyo JPM kwa performance yuko sawa sana - wasaidizi wake baadhi ndio wanamwangushaMi nachapa viongozi wote wa juu,kwa makosa yasiyojulikana,na yasiyo na dhamana.