huyo Mkuchika ndo huyo yuko chali, na hakuna wa kuendeleza policies zake pale Utamaduni, Bendera alishakuwa dead on arrival hata kabla hajamaliza term yake. Mkwere aliwaambia anaetaka basi kuna job vacancies za Ukuu wa Wilaya...AIBU!He he he sijui sasa watalifanyaje Mwananchi si walitishia kulifuta naona habari hizo zitakuwa shubiri kwa watu.
TBC1 imenukuu gazeti la Mwananchi likitangaza kifo cha ubunge wa mawaziri MASHA, MRAMBA, BATILDA, MKUCHIKA
Kaa chonjo
TBC1 imenukuu gazeti la Mwananchi likitangaza kifo cha ubunge wa mawaziri MASHA, MRAMBA, BATILDA, MKUCHIKA
Kaa chonjo