GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Haiwezekani Nyie WAFANYAKAZI Wenu tu Ndiyo Wawe Kila Kukicha Wanafanywa " PUNCHING BAGS " Tu. Lazima Kutakuwa Na Tatizo Pengine La KIUELEDI Mahala.
Alianza Mwanahiba Richards Wa Mwanaspoti KIJIPENDEKEZA Kwa Mchezaji Wa Simba Sports Club Mwinyi Kazimoto KACHEZEA KICHAPO Na MINUNDU Juu. Haya Hatujakaa Sana Juzi Tena Mpiga Wenu Wa Gazeti La Mwananchi Michael Jamson Kajifanya Yeye Ndiyo Bingwa Wa " Twanga Photo " Ya Koffi Olomide Waziri Wa Zamani Wa Kilimo Na KADA Aliyetukuka Wa Chama Cha MAPINDUZI Mzee Stephen Wassira Akamfundisha Kucheza " Ekotitee " Ila Ya Safari Hii Ni Ya Maumivu Zaidi Hadi Sasa Naambiwa Jino Lake Moja Lina " Shake Shake ".
Kwa Aina Hii Ya Muendelezo Wa VIPIGO Kwa WAFANYAKAZI Wenu Nahisi Huko Tunapoelekea Tutakuja Kusikia Mwandishi Wa MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED Ang'olewa " NYETI " Zake au " KOLOMELO " Kwani Inawezekana Mnafanya Aina Ya UANDISHI WA HABARI Wa:
Mwisho Ningependa Tu Kujua Hali Ya Hao WAANDISHI WENU WA HABARI JERUHIWA Mwanahiba Na Michael Zinaendeleaje Kwani Tuliambiwa Kuwa Mwanahiba Uso Wote Ulijaa MANUNDU Huku Michael Nae Tunaambiwa Tyson Alipiga " Upper Cut " Moja Ambayo Imesababisha " ULIMI " Wake Kuchungulia Nje Kila Mara.

- KIMBELEMBELE.
- MNATUMIKA KWA AGENDA BINAFSI.
- KUKURUPUKA.
- KUTAKA SIFA ZA KIJINGA KAMA SIYO ZA KIPUMBAVU.
- KUJIPENDEKEZA.