Mwananchi: Bei ya vifaa vya ujenzi moto, wanaojenga wahaha

Watu wataacha kujenga sasa

Unaua ajira nyingi sana. Ukiangalia chain yote nzima, wazalishaji, importers, exporters kwa nchi jirani, middleman, wajenzi, fundi wa mtaani, Engineers, archictectures, mama ntilie anaowauzia wajenzi chakula, maduka ya vifaa vyote vya ujenzi, wiring, mabomba, rangi kila kitu.

Kilimo tunaua, machinga tunawachinja, ujenzi tunaua, bandarini ujinga mtupu. Biashara gani itabaki? Wananchi watajiongeza, ujambazi, wizi umalaya, ukabaji na sekta zote huru kama hizo ambazo hazina kodi, kuingiliwa na serikali yetu tukufu.
 
Tusifike huko jamani tuvumiliane tu
 
Tusifike huko jamani tuvumiliane tu

Sera, usimamizi ndio unaelekeza wapi wanananchi waende, waelekee, ajira, biashara, maisha, usalama watu binafsi, taifa.

Unabana kila sehemu, binadamu wanahitaji chakula, nyumba, elimu, afya. Watajiongeza tu, wape mwaka mmoja kwa kuendekeza upuuzi huu.
 
Hahaha
 
Sidhani kama umeelewa hoja
 
Back
Top Bottom