Mwananchi atiwa ndani kwa kosa la kuuliza swali kwa Waziri Lukuvi

kahupwe

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
290
135
Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.
 
Uchafu gani umeweke hapa? Mtu akisoma unataka acomment nini sasa?
 
Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.
Vuta pumzi kwanza.
Haya Hebu tuambie swali alilouliza likasababisha awekwe ndani.
 
Watu wanajua kuwa viongozi ni kuwa miungu watu yaani kila MTU anataka kuwa muungu
 
wanacheza kwa kufuata mdundo wa DJ mkuu,full kushindana,halafu utasikia hapa kazi tu,hamna udikteta,mimi wa maskini,mniombee!!
 
Acha tu awekwe ndani, hizo ziara hawa wanasiasa wanachofanya sasa ni kujijenga wenyewe wakati wananchi wanakuza chuki kwa rais
 
Back
Top Bottom