Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.