Mwananchi atiwa ndani kwa kosa la kuuliza swali kwa Waziri Lukuvi

Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.
Swali gani aliuliza, kituo gani cha polisi, anaitwa nani...?
 
Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.
e733d87e6403f8dcfdf6d3508f0fea92.jpg
e5892aab80bdecd5c163f5ce09caacd3.jpg
 
Huyu DC atumbuliwe.Zama za upuuzi wa namna hii zimeshapita.Anachofanya ni kuzidi kumfanya Rais achukiwe na wananchi.
Leo kulifanyika mkutano ktk viwanja vya Usa River Ngarasero kijana mmoja ambaye ni muajiriwa wa kituo kimoja hapa Usa River baada ya kuuliza swali ambalo inaonekana limemkera DC.Amekamatwa na kuwekwa ndani muda huu.Je Waziri anapopita na kusikiliza kero za wananchi ajuwe kuna viongozi ambao wanakwamisha jitihada zake akiwemo huyu DC wa Arumeru.
 
Nimewateua mimi na sheria inawapa nguvu kumtia ndani mtu yoyote masaa 48.....Hapa Kazi Tu
 
Khalfani Lihundi wa ITV aweachiwa huru kwa dhamana ya Sh 10,000,000 kituo cha polisi wanaulizwa kosa la kuwekwa ndani wanasema hana kosa ila ni agizo la DC wa Arumeru Mnyiti...kisa amelipoti maandamano ya wana Arumeru kulalamika kukosa huduma ya maji....

Duh kazi kweli...,

Heri Waziri Mkuu amejisemea ukiona wananchi wanaandamana na mabango yenye jumbe za kero zao anapokuja kiongozi wa kitaifa na wewe upo hapo siku zote inamaana hufanyi kazi za kutatua kero zao.
 
Huyo DC ndiyo huyo alietoa agizo mwandishi wa ITV akamatwe?? Kuna watu wanapenda kujifanya mungu mtu
 
Samahani lakin, Chugga napo jani limemea mno unakuta lilimkaa vizuri kichwani ndo katoa povu zake hadharani kachanganya na ya Lema,.,
 
Mbona mnatokwa na mapovu mdomooni? kwani kuuliza swali ni kosa?mnataka mjue aina ya swali kwani ingekuwa ni tusi angeuliza mbele ya Waziri halafu waziri
anyamaze? kwanini asimkamate mbele ya waziri? Yeye kila ukitofautiana nae suluhisho lake ni polisi .

.
 
Back
Top Bottom