mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
Katika hali isiyotarajiwa na Mbunge
Swali chokonozi la kutaka kujua fedha za Jimbo zimetumikaje Jimboni liliachwa kujibiwa na kukimbilia swali mboga.
Note: Wananchi wameamka wanahitaji uajibikaji kama ni maneno mengi yamesemwa.
Kwa takiribani chaguzi zote CCM inaibuka kidedea baada ya mwenyekiti Taifa kurejesha imani kwa wananchi.