Mwanamuziki wa kizazi kipya, Casso aachana na Rose Ndauka aliyekuwa anasimamia kazi zake

Baby Nimah

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
700
745
ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA

Rose Ndauka

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana kimaslahi.

Akizungumza na Za Motomoto, Casso anayetamba na ngoma mbalimbali ikiwemo Kitonga alisema ameamua kuachana na Rose baada ya kushindwa kuafikiana makubaliano waliyowekeana.

1098024

Kuna mambo mengi tulikuwa tumekubaliana lakini yakawa yanaenda ndivyo sivyo ndipo nikaamua kutafuta kampuni nyingine ya Haffiyy Entertainment ambayo nafikiri tunaweza kwenda sambamba.

“Unajua muziki ndiyo maisha yangu sasa nilipoona mambo yanakwenda ndivyo sivyo nikaona nichukue uamuzi mapema.” Alisema Casso.

Rose alipoulizwa na Za Motomoto kuhusiana na kutemana na msanii huyo alisema; “Kuondoka kwake kwangu hakuna kilichopungua kama anatafuta maisha basi mimi namtakia maisha mema ila suala la kutomtimizia tuliyokubaliana tatizo lake ilikuwa ni uhitaji wa haraka wakati mambo mazuri hayataki haraka.” Alimaliza kusema Rose.
 
View attachment 1098024

Huyu Rose alikuwa binti mzuri sana
 
Rose ni dada mzuri sana, angetulia na ndoa yake heshima yake ingekuwa kubwa sana, msanii wa bongo muvi sijui kwa nini hapendi kutulia kwenye ndoa jamani?

Sasa utatulia mahali hakuna utulivu....Napenda sana ile muvi yao ya Bado natafta....
 
Rose ni dada mzuri sana, angetulia na ndoa yake heshima yake ingekuwa kubwa sana, msanii wa bongo muvi sijui kwa nini hapendi kutulia kwenye ndoa jamani?
Atulie ili avumbue nini? Acha wale maisha kwa pesa za madanga
 
ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA

Rose Ndauka

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana kimaslahi.

Akizungumza na Za Motomoto, Casso anayetamba na ngoma mbalimbali ikiwemo Kitonga alisema ameamua kuachana na Rose baada ya kushindwa kuafikiana makubaliano waliyowekeana.

View attachment 1098024

Kuna mambo mengi tulikuwa tumekubaliana lakini yakawa yanaenda ndivyo sivyo ndipo nikaamua kutafuta kampuni nyingine ya Haffiyy Entertainment ambayo nafikiri tunaweza kwenda sambamba.

“Unajua muziki ndiyo maisha yangu sasa nilipoona mambo yanakwenda ndivyo sivyo nikaona nichukue uamuzi mapema.” Alisema Casso.

Rose alipoulizwa na Za Motomoto kuhusiana na kutemana na msanii huyo alisema; “Kuondoka kwake kwangu hakuna kilichopungua kama anatafuta maisha basi mimi namtakia maisha mema ila suala la kutomtimizia tuliyokubaliana tatizo lake ilikuwa ni uhitaji wa haraka wakati mambo mazuri hayataki haraka.” Alimaliza kusema Rose.
Tatizo vijana wa dar wengi wanataka kuwa wasanii af wanakimbilia hayo majimama yawalee
 
Back
Top Bottom