Mwanamuziki wa fm academia afariki dunia.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Kutoka kwenye status ya fb ya John Kitime;

Mpiga solo Luigi B52 wa FM Academia amefariki dunia. Msiba uko Mwananyamala kwenye kambi ya bendi. Jirani na kituo cha Mwananyamala A. Mungu amlaze pema Amen.

RIP B52.
 
ni mmoja wa waanzilishi wa Bendi ya FM Musica ambayo ilikuja kuitwa FM Academia.
ukitaka kujua kipaji chake basi sikiliza sebene liliitwa Atomic...

Balaa
 
Pale pub ya demonte a.k.a aunt ezekiel pub upande wa pili(opposite) kuna barabara ya vumbi ukiingia hiyo barabara mkono wa kulia nyumba ya tatu aisee wakongoman walikuwa wanamuangalia koffi tu kwenye tv msibani
hii misiba ya siku hizi balaa
 
Luigi B52 amefariki dunia. Luigi ambaye ndie pia alipiga solo katika album maarufu ya Chambua kama Karanga ya Saida Karoli,,,,,,
 
Picha muhim coz wngne hatumfahamua R.I.P mpiga solo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
photo tafazali.rip mpiga solo
rip rip

image.jpg
 
Pale pub ya demonte a.k.a aunt ezekiel pub upande wa pili(opposite) kuna barabara ya vumbi ukiingia hiyo barabara mkono wa kulia nyumba ya tatu aisee wakongoman walikuwa wanamuangalia koffi tu kwenye tv msibani
hii misiba ya siku hizi balaa

Kwani katika hao, yupo mwenye kuamini !?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom