Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 181,126
- 1,095,030
Popular gay musician dies of anal cancer ▷ Yen.com.gh
Kwani ni mdau?
anasema tusiwahukumu hawa watu coz hatujui Na sisi madhambi yetuKwani ni mdau?
Na huyu wa bongo aliyekufa wiki hii naye ni hii kansa?? Maana haielezwi kafa Na nini.
Watu wanajua madhara yake lakini hawaachi huo mchezo.
Mwache asije akanilipizia
Kama tatizo la ugonjwa au kutafuta urembo? Samahani kwa kuulizaYule alifanyiwa Gastric surgery naona ikazingua...
Huyu shoga wa SA kafariki.. nilisoma juzi kati mwenyewe alikua anakanusha kuwa hana anal cancer...