Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Mida hii naona breaking news kwenye ma news networks....RIP Prince, age 57

Update!! kafa sababu ya drug overdose, ile flu ni changa la macho

0421-prince-getty-4.jpg

=====================

Prince died earlier today (April 21) at age 57 at his Paisley Park home and studio, his publicist confirmed to the Associated Press. TMZ first reported the news.

Gone But Not Forgotten: In Memoriam 2016

Prince was hospitalized last week after his plane for was forced to make an emergency landing in Moline, Ill. Released a few hours later, a rep told TMZ that he had been battling a bad case of the flu.

One of the most iconic musicians in music history, Prince's extensive career grew out of the music scene of his native Minneapolis, where he lived his entire life. His 1978 debut album For You and self-titled second LP, released in October 1979, kicked off an incredibly prolific run of albums that included 1999, Purple Rain, Around The World In A Day, Sign O The Times and Batman, among others, throughout the 1980s at a clip of nearly one per year, evolving with each release.

It was 1984's Purple Rain -- his first No. 1 album on the Billboard 200 -- released in conjunction with the film of the same name, that cemented him as one of the greatest artists of his generation, earning him two Grammys, and Oscar and a victory over Michael Jackson's Thriller for Favorite Pop/Rock Album at the 1985 American Music Awards. Along the way, he worked with several bands under a series of pseudonyms, including The Time, the New Power Generation and The Revolution, as both frontman and producer.

Prince was also known for his eponymous Love Symbol, created in protest against his longtime record label Warner Bros., under which he released an album in 1992. His 18th and final album for the label, 1996's Chaos and Disorder, finally released him from his contract.

As a recording artist, Prince was legendary for his prolific and perfectionist nature which allowed him to release a steady slew of material as he experimented in the studio; as a result, unreleased b-sides and bootlegs have become highly sought-after collectibles for die-hard fans, and his infamous "vault" of recordings has become the stuff of legend. Yet he was also truly transcendent as a performer, regularly stretching his shows beyond the three-hour mark and showcasing his stunning guitar work, which became an underrated part of his legacy, often overshadowed by his iconic singing voice and abilities as a songwriter and bandleader.

Over his 35-plus-year career, he released 39 solo studio albums and never stopped releasing new material; since September 2014, he put out four new full-length records with his latest band, 3rd Eye Girl, continuously experimenting with psychedelic rock and intergalactic funk.

Source: billboard
 
Dah! Naona CBS report news hapa wanareport kafariki. Miaka 57, alikuwa bado kabisa anadai.
 
Daah! Sad news. Jamaa alikuwa ni homosexual kama alivyokuwa Freddie Mercury wa kundi la Queen la Uingereza. Tutamkumbuka kwa nyimbo zake nyingi na za kuburudisha kama Purple Rain, Kiss, Musicology, Raspberry, Sign of the Times, Thieves in the Temple, When Doves Cry n.k.
 
Duh, kumbe ni homo, ujue tangu zamani nilikua nmdhania tu na baadae nadhani alioa au la, star mwenzake na wakapata mtoto, mie nikaona labda sio.... huyo mtoto alizaliwa na ulemavu fulani hv, akafa kiutatanishi, wazazi wote wakataka kufunguliwa kesi ya mauaji sijui walisevu vp mambo ya fedha!
 
Kweli Mkuu! Suddenly ??!
Dah! yani so soon. hapa wanasema majuzi alizidiwa na flu, akiwa na ndege yake safarini ikadidi atue sehemu atibiwe....nimesikitika sana...with all the riches, private jet, estates na bado anaheshimika kwenye tasnia hii...
 
Duh, kumbe ni homo, ujue tangu zamani nilikua nmdhania tu na baadae nadhani alioa au la, star mwenzake na wakapata mtoto, mie nikaona labda sio.... huyo mtoto alizaliwa na ulemavu fulani hv, akafa kiutatanishi, wazazi wote wakataka kufunguliwa kesi ya mauaji sijui walisevu vp mambo ya fedha!
Ndiyo hivyo mkuu. Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya muziki miaka ya 1990 jamaa aliwahi kubadilisha jina lake na kujipa alama fulani ambayo ilikuwa haiwezi kutamkika lakini ikiwa imejumuisha jinsia ya kiume na ya kike badala ya jina lake lililozoeleka la Prince.

Matokeo yake ikabidi awe anatambulishwa kwa jina la "The Artist Formerly Known As Prince" au kwa kifupi TAFKAP au wakati mwingine akitambulishwa kwa jina la "The Artist".

Hata hivyo miaka kadhaa baadae alikuja akabadili hilo jina la alama na kurudia lile jina lake lililozoeleka. Ile kujipachika jina lenye alama za "kitundu" na "kimshale" ndiyo kilikuja kuaminisha watu kuhusu madai yaliyokuwepo siku nyingi juu yake kuwa jamaa ni "mtumiwaji" kwa sababu kwa alama hiyo alikuwa akimaanisha yeye anatumika kama "kitundu" na pia kama "kimshale".

Hata hivyo baadae jamaa alikuja kuokoka na kuwa muumini wa kanisa la Mashaidi wa Yehova.
 
Aisee ni miaka mingi imepita nimekumbuka.....na pia kuongezea hapo alikua na matatizo na lebel ya muziki aliyokua anafanya chini yake, kuwakomesha akaamua kujipa hiyo alama badala ya kutumia jina la prince ambalo lipo kwenye mikataba...nadhani ni mambo ya kubaniana mpunga. kwahiyo akawa anafanya kazi kwa ile alama tuna kupiga shows...kwakweli kwenye hicho kipindi walimuua kimuziki....na ndio maana kifo chake kinasikitisha sababu nae alipita kwenye kipindi hicho kigumu na kuweza ku survive na ku recover....imagine hadi leo hii maiti imemkuta and still young.
 
Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
nadhani mafua yao ni makali sana, na hali ya hewa yao huko ile ya baridi.....lakini au kuna tofauti ya mafua yetu na flu yao
 
nadhani mafua yao ni makali sana, na hali ya hewa yao huko ile ya baridi.....lakini au kuna tofauti ya mafua yetu na flu yao
Yaah!baridi inawatesa sana duh ila nywele ngumu hizi kiboko tunatembea na magonjwa ikipigwa ambush hapa twende tukapimwe kati ya 100 labda 5 ndo wataruhusiwa wengine wote tunapewa vitanda kama sio ICU kabisa.
 
Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
Unayapenga njiani, unayapangusa kwa mikono yote na bado ukikutana na watu unasalimiana nao kwa kushikana mikono. Na wakati wa kuagana mtashikana tena mikono na kuitikisa mara kadhaa kabla ya kila mmoja kuondoka.
 
Back
Top Bottom