Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

Mie Wala siwatetei maana sina uhakika wa chochote.Ila kwa Bongo mie mambo ya ushahidi kuna wakati Huwa hayaonyeshi uhalisia.Morogoro kuna Raia alitandikwa Risasi Na polisi akafa lkn mwishoni wakasema ni kitu kirukacho chenye ncha Kali.Wakati Reality ilikuwa ni risasi.Kuna baadhi ya kesi Huwa zina ushahidi mzito lkn Huo ushahidi Huwa sio reality ya tukio

Ni kweli kabisa. Kesi za kubambikiwa na kufungwa bila kosa hasa kwa watu wasiojuana na wakubwa au wasio na fedha ni kawaida. Ila hii kesi ya kina babu Seya kama umeifuatilia tangu tuhuma ziibuke na kesi ilivyoendeshwa ni vigumu sana kuamini kuwa walibambikiwa.

Mtu anayetaka kubambikia mtu kesi hawezi kuhusisha watu wengi namna hiyo tena wakiwepo watoto wengi na kutumia complex mechanism namna hii. Ni rahisi kujichanganya. Kesi ya babu Seya ilikuwa clear na ushahidi ulikuwa clear bila kuwa na chembe chembe za shaka.

Kwanza wale watoto walivyokuwa wanajieleza! Maelezo yao yalifanana na ingekuwa wamefundishwa au kutunga ingekuwa rahisi sana kuwanasa. Halafu aliyepigia msumari kwenye jeneza ni dr aliyewapima.
 
Doesnt matter! This is not a court room!

you think it doesn't matter whether it was only one doc that did the examination and not several different doctors? oes word triangulation mean anything to you?

You suddenly think this is not a court room after you brought a court room scenario? can't seem to follow you. enlighten me pls.
 
Although the job may have done by a team of medical personnels, but we just refers to single entity like Dr, Mkemia Mkuu, forensic pathology etc!
 
Hivi kuna yeyote anayewajua wale watoto waliobakwa/waliolawitiwa maisha yao yapoje Sasa?
Mimi namjua mmojawapo anaitwa Eva alikua mtaa wa nyuma. Mama yake nakumbuka alikua nurse kama nipo sahihi..Ni moja ya watoto waliotumika ku-fake ushahidi. Na mama yake nikiwa mmojawapo wakati ule tulimpa makavu hadharani lakini naye alijibu ni suala lipo nje ya uwezo wake hana jinsi.
 
Hii mdio tunaita uongo uliopitiliza. Ukiambiwa uthibitishe utasema ohoo... nilisikia... ohoo watu wanasema. Watu kama nyie ndio inatakiwa sheria za mtandao zimwahukumu! Ukiitwa na kumbiwa uthibitishe kuwa ilikuwa ni uongo mpaka ukafikia hatua ya kutishia victims wa ubakaji una uhakika unao ushahidi?
 
Jaribu uraiani Made Nguza. Your kheri...mtulize ball sasa maana watu bado watu hawajabadilika
 
Hii mdio tunaita uongo uliopitiliza. Ukiambiwa uthibitishe utasema ohoo... nilisikia... ohoo watu wanasema. Watu kama nyie ndio inatakiwa sheria za mtandao zimwahukumu! Ukiitwa na kumbiwa uthibitishe kuwa ilikuwa ni uongo mpaka ukafikia hatua ya kutishia victims wa ubakaji una uhakika unao ushahidi?
Aisee next time usikurupuke. Mimi siyo kizazi cha dot com wa JF. Napoandika na uhakika na ninachozungumza. Usiongozwe na hisia. Tambua hujui hata robo ya matukio mengi unayodhani unayajua ktk ubongo wako. Watch yourself kid!
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni dhahiri unazaidi ya asilimia tisini,maana umekasirika sana. Kwa nyongeza tambua kuwa MTU mwenye pua kubwa hafai kuwa kiongozi wala kufanya kazi ya mapokezi kwakuwa huwa anahasira za karibu,na wala hapendi kushirikisha,bali hupenda kuamrisha na kujifanya anajuwa kila kitu.Anza sasa kufanya uchunguzi.

Naanza na wewe.
 
kila jambo linafanyika kisiasa sana.....tunafundishwa kusamehe ni kweli ..lakini sio kwa hawa jamaa...walichokifanya hakiwezi kufutika kirahisi kwenye akili za wale watoto. na inawezekana kabisa wengine wakawa wameathirika kisaikolojia na hatimae kuishi maisha ambayo hawakutarajia kuishi na yasiyo pendeza kwenye jamii.
 
Hawa jamaa walikuwa sio wa kusamehewa. Walitakiwa wakae huko kama watu wengine wenye makosa kama yao. Too sad
 
kila jambo linafanyika kisiasa sana.....tunafundishwa kusamehe ni kweli ..lakini sio kwa hawa jamaa...walichokifanya hakiwezi kufutika kirahisi kwenye akili za wale watoto. na inawezekana kabisa wengine wakawa wameathirika kisaikolojia na hatimae kuishi maisha ambayo hawakutarajia kuishi na yasiyo pendeza kwenye jamii.
Mkuu hili jambo lilitengenezwa kimkakati sana!
Ukiangalia kwenye upande wa ushahidi mtoto wa miaka 6 anaingizwa dushe mbele na nyuma na hakuna athari zozote inawezekana?
Mtoto wa miaka 6-7 anakuambia alikua ananyonywa maziwa inawezekana kwa huo umri mtoto akawa na maziwa/matiti?
Familia nzima Baba na watoto wanaweza kufanya tukio la kifirauni bila hata mmoja kuwa na akili ya tofauti?
Katika matukio ya namna hii utakuta ni mtoto mmoja au wawili ndio wanahusiswa/wanafanywa ili kutunza siri vipi kwa hawa kumi na hakuna aliyewahi kuongea mpaka mmoja kuja kugundulika kwa bibi yake?
Tafakari!
 
Ongezea matukio yote hayo yanfanyika nyumbani kwa Mama/Bibi yao maana wote walikuwa wanaishi nyumba moja.
 
Back
Top Bottom