Mwanamuziki nguli wa Cameroon Manu Dibango afariki kwa Corona

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,805
4,484
1585040348045.png

Mwanamuziki wa Jazz na mpiga Saxophone kutoka Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango (86) maarufu ‘Manu Dibango’, amefariki leo asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambuzi Covid 19

Atakumbukwa kwa wimbo wake wa Soul Makossa.

ZAIDI SOMA
Emmanuel N'Djoke Dibango, known as Manu Dibango, saxophonist and Franco-Cameroonian singer of world jazz, gestures to the crowds during his concert on June 29, 2018 at the Ivory Hotel Abidjan.

Cameroon-born jazz singer and saxophone player Manu Dibango has died from a coronavirus infection, according to a statement on his official Facebook page on Tuesday.

“It is with deep sadness that we announce the loss of Manu Dibango, our Papy Groove, who passed away on 24th of March 2020, at 86 years old, further to covid 19,” it said.


Source: Citizen TV
 
Duuh Music Legendary wanakufa So sad. Aulis Mabele, Kenny Rogers na Leo Manu Dibango. Hii March 2020 mbaya Sana Kwa Wakongwe. Anyway tunawashukuru Kwa kutuburudisha Enzi Yao. RIP Legendary(s).
 
Wanamuziki wanaenda na corona, mwanzo niliuchukulia poa sana huu ugonjwa ila baada ya vifo kusikika nimepata hofu


Sent using Jamii Forums mobile app

Wasomi wa matibabu ya binadamu wanasema kwa umri wa mababu zetu au maamuzi ya triage https://healthitanalytics.com/news/how-mayo-clinic-uses-cds-algorithms-to-standardize-nurse-triage, wenye umri huu coronavirus itawamaliza kuliko vijana :

Los Angeles Times What's the risk of COVID-19 for a healthy young person?

These are the COVID-19 mortality rates by age calculated by the Chinese CDC:

  • ages 10-19: 0.2%
  • ages 20-29: 0.2%
  • ages 30-39: 0.2%
  • ages 40-49: 0.4%
  • ages 50-59: 1.3%
  • ages 60-69: 3.6%
  • ages 70-79: 8%
  • 80 and over: 14.8%
 
AMEENDA. BASI MWACHENI. KILA MTU NDIO HUKO ANAKOELEKEA AKAKUTANE NA ALICHOKIPANDA DUNIANI.
 
Ngulli Wa muziki duniani MANU DIBANGO afariki kwa ugonjwa Wa korona tumwombee kwa mungu amuweke mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom