muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,183
- 9,390
Mwanamuziki King Giovann aliyewahi kupitia bendi kadhaa kama FM academia na Chuchu sound amefariki dunia. King alikuwa mahili katika ucharazaji wa gitaa la solo amefariki ghafra muda mfupi uliopita.
Kwa mujibu wa King Dodoo,King amefariki baada ya kuugua pressure muda mfupi kabla ya kifo chake kutokea. Taratibu zingine zitatolewa baadae...R,I,P.
Mwenye kibao cha narafiki cha Chuchu sound atupie tumkumbuke King.