Mwanamume afungwa jela miezi 6 kwa kuoa mke wa pili Pakistan

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
images.jpg

Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake.

Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib, kulipa faini ya dola 1,900, na kukataa maoni yake kuwa dini ya kiislamu inamruhusu kuoa hadi wake wanne.

Mke wa kwanza wa Sadiq Ayesha Bibi, alikuwa amefanikiwa kujitetea kuwa kuoa bila idhini yake ulikuwa ni ukiukaji wa sheria za familia nchini Pakistan.

Wanaharakati wa masuala ya wanawake wabasema kuwa kesi hiyo ni pigo kwa ndoa za wake wengi.

Mfasiri wa FBI afunga ndoa na mwajiri wa IS. Akamatwa kwa kumtaliki mkewe kupitia kadi ya posta
Pia walisema kuwa itawapa wanawake zaidi walio katika hali kama hizo motisha ya kupeleka kesi mahakamani.

Nchini Pakistan, wanaume wanaotaka kuoa wanawake kadhaa hufanya hivyo baada ya miaka kadhaa na ni lazima wapate idhini kutoka kwa mke wa kwanza.

Baraza la kiislamu nchini Pakistan ambalo hutoa ushauri wa serikali kuhusu masuala ya kiislamu, mara kwa mara limekosoa sheria za familia nchini humo.

Sadiq ana haki ya kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya siku ya Jumatano.

- BBC Afrika
 
Pakistan ni nchi kindakindaki ya kiislam na dola lenye nguvu za kinyuklia; sina chembe ya shaka na usahihi wa hukumu hiyo kwani imetolewa katika taifa ambalo sharia ni sehemu muhimu ya mfumo wa sheria za nchi. Kwa hukumu hii napata ilmu kwamba uamuzi wa mwanaume wa kiislamu kuongeza mke umeshikiliwa na mke/wake waliotangulia. Mke ndio mwamuzi uoe au usioe ... FaizaFoxy uko wapi mama; mwaga nondo hapa.
 
View attachment 622384
Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake.

Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib, kulipa faini ya dola 1,900, na kukataa maoni yake kuwa dini ya kiislamu inamruhusu kuoa hadi wake wanne.

Mke wa kwanza wa Sadiq Ayesha Bibi, alikuwa amefanikiwa kujitetea kuwa kuoa bila idhini yake ulikuwa ni ukiukaji wa sheria za familia nchini Pakistan.

Wanaharakati wa masuala ya wanawake wabasema kuwa kesi hiyo ni pigo kwa ndoa za wake wengi.

Mfasiri wa FBI afunga ndoa na mwajiri wa IS. Akamatwa kwa kumtaliki mkewe kupitia kadi ya posta
Pia walisema kuwa itawapa wanawake zaidi walio katika hali kama hizo motisha ya kupeleka kesi mahakamani.

Nchini Pakistan, wanaume wanaotaka kuoa wanawake kadhaa hufanya hivyo baada ya miaka kadhaa na ni lazima wapate idhini kutoka kwa mke wa kwanza.

Baraza la kiislamu nchini Pakistan ambalo hutoa ushauri wa serikali kuhusu masuala ya kiislamu, mara kwa mara limekosoa sheria za familia nchini humo.

Sadiq ana haki ya kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya siku ya Jumatano.

- BBC Afrika
Hilo si pigo kwa mwanaume ilaha wanawake watakoma nampa taarifa akigoma tu kumbe hunipendi na hutaki nifaidi hivyo Kuanzia dakika hii walahi bilahi watalahi si mke wangu tena
 
Na ndio maana wanaanzisha zengwe ili kuhalalisha talaka ili iwe rahisi kuoa tena. Hiyo loophole inatumika sana mwanamke akizingua wakati mzee kishapata kifaa kipya. By the way hiyo idadi ya wa4 ni kwa "wakati mmoja" ila ukitimua ruksa kuoa tena muhimu usivuke hiyo idadi ya 4 "at the same time".
 
Mzee mzima kawapa wepesi wanaume hata njiwa ruksa
cd412bbc5de1c01c3e7d9ce02dd7b7da.jpg
 
Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake.

Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib, kulipa faini ya dola 1,900, na kukataa maoni yake kuwa dini ya kiislamu inamruhusu kuoa hadi wake wanne.

Mke wa kwanza wa Sadiq Ayesha Bibi, alikuwa amefanikiwa kujitetea kuwa kuoa bila idhini yake ulikuwa ni ukiukaji wa sheria za familia nchini Pakistan.

Wanaharakati wa masuala ya wanawake wabasema kuwa kesi hiyo ni pigo kwa ndoa za wake wengi.

Mfasiri wa FBI afunga ndoa na mwajiri wa IS

Pia walisema kuwa itawapa wanawake zaidi walio katika hali kama hizo motisha ya kupeleka kesi mahakamani.

Nchini Pakistan, wanaume wanaotaka kuoa wanawake kadhaa hufanya hivyo baada ya miaka kadhaa na ni lazima wapate idhini kutoka kwa mke wa kwanza.

Baraza la kiislamu nchini Pakistan ambalo hutoa ushauri wa serikali kuhusu masuala ya kiislamu, mara kwa mara limekosoa sheria za familia nchini humo.

Sadiq ana haki ya kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya siku ya Jumatano.

Muungwana
 
Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela ya kuoa mke wa pili bila idhini kutoka kwa mke wake.

Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib, kulipa faini ya dola 1,900, na kukataa maoni yake kuwa dini ya kiislamu inamruhusu kuoa hadi wake wanne.

Mke wa kwanza wa Sadiq Ayesha Bibi, alikuwa amefanikiwa kujitetea kuwa kuoa bila idhini yake ulikuwa ni ukiukaji wa sheria za familia nchini Pakistan.

Wanaharakati wa masuala ya wanawake wanasema kuwa kesi hiyo ni pigo kwa ndoa za wake wengi.

Pia walisema kuwa itawapa wanawake zaidi walio katika hali kama hizo motisha ya kupeleka kesi mahakamani.

Nchini Pakistan, wanaume wanaotaka kuoa wanawake kadhaa hufanya hivyo baada ya miaka kadhaa na ni lazima wapate idhini kutoka kwa mke wa kwanza.

Baraza la kiislamu nchini Pakistan ambalo hutoa ushauri wa serikali kuhusu masuala ya kiislamu, mara kwa mara limekosoa sheria za familia nchini humo.

Sadiq ana haki ya kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya siku ya Jumatano.

====

Hivi wakuu kwa hapa bongo wanawake huwa wanawachukulia hatua wanaume wa aina hii? Au wanaogopa talaka?
 
sio bongo hata ukiowa 100 ruksa
lakini huko wenzetu wameshika dini hadi mtu unahukuwia sio mchezo
haya bhana
 
Back
Top Bottom