Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,491
26,973
Asikwambie mtu kitu.

Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA.

Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na mishe nyingi kujijenga kimaisha.

Unapofikia kuoa ujue maisha yako sasa kwa kiasi kikubwa yatahitaji uchakataji, na hii iwe kwa maisha yako yote yalibaki chini ya jua.

Zingatia mtindo bora wa maisha, ule nini na ufanye nini kwa wakati gani ili kujihakikishia mafao bora zaidi uzeeni.

Thank me later.
 
Upo sahihi endapo tu utajiweza kifedha pia.

Kumgegeda mke akiwa hana stress ni kwepesi sana kuliko kumgegeda mke anayewaza ndoo ya maji imetoboka na hajaiziba inabidi akaombe kwa jirani ili aweze kwenda mtoni kuteka maji ya kuchemshia kiazi ule na watoto.

MWANAUME TAFUTA FEDHA, HAKIKISHA UNA PESA YA KUIHUDUMIA FAMILIA.
 
Mgegedo ni moja ya majukumu ya ndoa. Mtoa mada nini kimekupata hadi uje utuhusie hivyo?.

Nimeweka angalizo tu mkuu, uwekezaji wa muda mrefu lazima uzingatie malengo muhimu.

Kwa kujua kuwa ni moja ya majukumu muhimu ya ndoa, basi unafanya nini ili kudumisha jukumu hilo?
 
Mkuu, suala la uchumi linaingia hapo kwenye “Pamoja na mambo mengine”.

Ni wangapi wenye uchumi imara wanafedheheka na hata kufa kisa kukosa kazi ya dushe?
Mkuu unajua mwanamke anahitaji nini

Mwanamke anahitaji mwanaume anae mfanya aonekane ni miongoni mwa wanawake bora
Alie wekeza kwenye dushe anakimbiwa kisa mwanamke hawezi kula dushe

Alie wekeza kwenye uchumi anakimbiwa kisa anajali zaidi pesa kuliko mwanamke wake


Mwanamke ulie nae ndio atakuonyesha uwekeze kwenye nini
 
Anyway kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake. Wewe chako ndio hilo la ku make love thouroughly... Kwa hiyo usifanye confirmation bias ..kwa vile wewe umesema hivyo ndio wengine watawekeza nguvu zao kwenye uchakataji...maana pia maisha yana mengi sana ya kufurahia zaidi ya kugusanisha vikojoleo .

MÊmENtO HoMO
 
Mkuu unajua mwanamke anahitaji nini

Mwanamke anahitaji mwanaume anae mfanya aonekane ni miongoni mwa wanawake bora
Alie wekeza kwenye dushe anakimbiwa kisa mwanamke hawezi kula dushe

Alie wekeza kwenye uchumi anakimbiwa kisa anajali zaidi pesa kuliko mwanamke wake


Mwanamke ulie nae ndio atakuonyesha uwekeze kwenye nini
Umemaliza hapa ... Bonge la point

MÊmENtO HoMO
 
Back
Top Bottom