Mwanamme Mmoja Kenya Awashitaki Ma-Daktari kwa kumwambia ana VVU.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
10409064_893709207315373_145574728933713808_n.jpg


Mwanaume mmoja nchini Kenya amewashtaki katika mahakama kuu madaktari watano wa hospitali kuu Kenyatta kwa kumpima na kusema kuwa ana Virusi vya HIV halikadhalika kumpa dawa za kupambana na makali ya virusi vya UKIMWI yaani ARV.

Peter Mungai anadai kuwa alitumia dawa hizo kwa miaka mitano na zimemsababishia mwili wake kupooza.

Anadai kuwa alienda katika hospitali nyingine na alipopimwa iligundulika kuwa hana virusi hivyo.
 
Hata kama walikosea kumpa majibu, kila alipokuwa anaenda kuchukua hizo dawa lazima walikuwa wanampima kiwango cha cd4 ambazo zingeonyesha kama hajaathirika au la...... sasa imepita miaka mitano ndio anajua hilo duuuuuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom