Mwanamme ashitakiwa kwa kumtoboa, kumfunga kufuli mkewe ukeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamme ashitakiwa kwa kumtoboa, kumfunga kufuli mkewe ukeni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LINCOLINMTZA, Oct 23, 2012.

 1. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mume wake aitwaye Sohanial Chouhan (38) alifikishwa polisi baada ya kugundua kwamba alikuwa ana tabia ya kumfunga kufuli mkewe sehemu hizo kwa muda wa miaka minne kwa madai kwamba asingefanya hivyo angekuwa anatembea nje ya ndoa.
  Imegundulika kwamba Chouhan alianza kumwenyesha mkewe madawa ya kulevya na kisha akatumia sindano kutoboa matundu sehemu zote mbili za mlango wa uke wa Sitabai kisha akaweka kufuli dogo ambalo alilifunga kila asubuhi akienda kazini, na kulifungua wakati anaporejea.
  Katika uchunguzi huo, polisi waligundua ufunguo huo ukiwa umefichwa kwenye soksi zake.
  Kisa cha mama huyo kujaribu kujiua kwa sumu ni pale alipogundua kwamba mumewe alikuwa anamtongoza binti yake wa kwanza ili afanye naye mapenzi.
  Mwanamme huyo ambaye ni makenika na aliyemwoa mkewe akiwa na umri wa miaka 16 na sasa wakiwa na watoto watano, alifunguliwa mashitaka ya kudhuru mwili.
  Source: MWANAMME ASHITAKIWA KWA KUMTOBOA, KUMFUNGA KUFULI MKEWE UKENI - Global Publishers
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  source ni Global Publishers!!! ngoja ni logout mie
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wana wivu
   
 4. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama huna wivu basi huna penzi/pendo.
   
 5. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ningependa kujua
  Je kojozi pia lilikuwa kwenye kufuli?
  Vp 0716 nayo ilipigwa kufuli?
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamaa kiboko hataki sharing and caring
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, kazi ipo
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hakuna kazi, ukiamua kuolewa unatakiwa utoe mazingira ya kuaminian wote. Sasa kama kuna wasiwasi unafikiri jamaa angefanya nini? Lakini naye alienda mbali sana na nafikiri hata akili yake ipo mbele kidogo.
   
Loading...