Mwanamke

Mkuu baada ya mahusiano ya mwanzo kufa yapaswa utulie maana umesema bado una maumivu so unataka kulazimisha furaha itakugharimu aisee, pumzika miezi 6
Miaka 35 sio mchezo
 
Awe anapenda kuliwa denda na kugegedwa pia awe msafi na mpishi mzuri wa mahanjumati.

Hizo ni muhimu kwa mke kuwa nazo Mkuu.

Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?

Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa sana
2. Awe na upendo na pia ajali
3. Awe na uwezo wa kushauri masuala mbalimbali
4. Maumivu yake ya zamani asiyahamishie kwangu.

Sifa zangu
1. Mwanaume rijali mwenye miaka 35
2. Naishi Dar es Salaam
3. Sio muongeaji sana na hii imekuwa tatizo kwenye mahusiano yangu yaliyopita
4. Bado nina maumivu ingawa sitayahamishia kwako

Mengine tutazungumza PM
 
Awe anapenda kuliwa denda na kugegedwa pia awe msafi na mpishi mzuri wa mahanjumati.

Hizo ni muhimu kwa mke kuwa nazo Mkuu.
Hahaha kwenye kugegedwa asiwe ananibania tu au anatumia kama fimbo akitaka kitu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Utarudi hapa kulalama mke ananinyima uchi AKA Papuchi nifanyeje mie maana ugwadu umezidi nafikiria kumbaka 🤣🤣🤣🤣🤣

Hahaha kwenye kugegedwa asiwe ananibania tu au anatumia kama fimbo akitaka kitu
 
Kuna dharura gani mpaka unatafuta haraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20190208-215101_1_1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom