Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.

Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.

Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

  1. Kumega
  2. Chapa ilale
  3. Gonga
  4. Piga etc
Mi nashangaa!!!!!!!! Naona wanawake mnaona sawa tu.........!! Ah haya bwana.
 
Nadhani ungechangia mada kwa kusaidia wanawake waondokane na mambo haya yanayosemwa hapa, hasa yale ambayo kimsingi ni ya kweli, kuliko kuwataka wazichoke post. Hata wao wana uhuru wa kupost huo udhaifu wa wanaume na ukajadiliwa pia. Hayo ya KUMEGA, GONGA n.k. ni lugha tu za mitaani ambazo haziwezi kumfanya akose uaminifu, au awe mhuni
 
Thanks kwa post yako. Nitajadili kidogo ulichoandika. Kwanza siamini ikiwa post hii au hizi zinazowekwa hapa zinakusudia kumbadilisha "mwanamke." Kwa mfano post kama hii "
Confirmed; Mwanamke yeyote akikupa mara moja ,hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

inasaidia ni nini kumbadili mwanamke. Tutaishia kubishania nadharia. Nacho-argue mimi ni repeatition za posts ambazo ni mtiririko na mwendelezo wa fikra kandamizi wa wanaume. Lugha unazodai za mitaani ambazo haziwezi kumfanya akose uaminifu ndizo hizo hizo zinazidi kumdhalilisha na kumpunguzia utu mwanamke. We unachukulia kirahisi kwa kuwa umemezwa na wingu la mfumo dume.

Mambo hayaishii tu kusema, "Hata wao wana uhuru wa kupost....." Suala si uhuru tu, suala ni uhuru na wajibu. Hatuwezi kusema chochote tu kwa kisingizio cha uhuru. Kuna staha ambazo ni lazima ziwekwe kutunza heshima na utu wa mtu. Juzi juzi hapa kuna mtu aliweka post ikimwonesha Britney spears akiwa uchi (uke wake ukionekana kabisa) sasa mambo kama haya tusingizie uhuru kweli? Mara nyingi tunaona hata kwenye Jukwaa la picha wanawake wakioneshwa makalio etc. Hoja yangu ni kuwa, ni nini implication ya haya? Tusiishie kuona picha na kucheka. Tuone picha, maana ya picha na maana ya kuwekwa picha husika.

Tatizo ni kuwa wanawake wamegeuzwa kuwa vitu badala ya watu.
 
Mbona hii ni kweli kabisa,kuna demu nilikuwa nammega enzi za o-level tukapotezana for more than 10 yrs,nikakutana nae mwaka juzi ameshaolewa na ana mtoto.,yeye mwenyewe akataka tupashe moto kiporo chetu,since then kila mumewe akisafiri lazima anitafute,kibaya zaidi ni kuwa anamponda mumewe na kujuta kwa nini aliolewa nae.

mijitu mingine bwana ikipewa inatangazia umma, ikinyimwa inatangaza bifu
 
Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.

Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.

Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

  1. Kumega
  2. Chapa ilale
  3. Gonga
  4. Piga etc
Mi nashangaa!!!!!!!! Naona wanawake mnaona sawa tu.........!! Ah haya bwana.
DAH UMEONGEA YA GHARAMA KAKANGU
YAN ATA MIMI INANIBOA SANA...wanaume weng umu ndani wana swaga za kudhadhalisha wanawake...
wanaume hawajiamini na hasira zao znalalia kwenye kutusi wakike.
 
Mdada wetu wa jamii forum,here is dare we talk openly,that is natural bana,kwa wengi iko ivo,usiipinge nature,hata hivo sisemi kuwa wanawake wote wako ivo,then hata we ukiona mmeo anatoka nje ujue unampikia wali ule ule kila siku bila kubadili mapishi.ua lackin creativity!!!!
.
 
kwa kweli hii tabia ya kutika nje me si isupot,past is past kama ulifanikiwa huko nyuma usije nisumbua now me na ndoa yangu na mume wangu........another thing mwanaume akitoka nje sululisho sio kutoka nje pia hiyo ni kukomoana ambapo hamjengi bali mnaboamoa i blv there is no a ready made wife i will be the kind of a wife my husband want me be,na nitajuaje mpk aniambie mapenzi sio vita nipe nikupe,kukosoana kunaleta afya it depend unakosolewa vipi............nje sio sululisho achika uone kama awa nje atakuchukua au kwa mwanaume uwe hauna hela au umefukuzwa kazi uone kama utafunguliwa mlango huko small house tatizo men ni rahis sana kufikiria kutoka nje............JIREKEBISHENI JAMANI
 
unajua hawa wanaume hiyo ndo kazi yao, sasa wka kuliweka wazi hilo inabidi walifiche kdgo ndo maana wanasema wanawake .......yaani sidhani kama kuna mwanamke na kama wapo basi ni asilimia kama 3% hvi kati ya 100%. ndo huwa wanawanaume wa pembeni katika ndoa, ila wanaume ndo sijui mnaona ndo utajiri
 
Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.

Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.

Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

  1. Kumega
  2. Chapa ilale
  3. Gonga
  4. Piga etc

Mi nashangaa!!!!!!!! Naona wanawake mnaona sawa tu.........!! Ah haya bwana.

THIS IS HOW A GREAT THINKER SHOULD LOOK LIKE; good analysis and presentantion, kwa mtirirko huu ukiwa ni mwanamke kweli umejitambua na unafaa ktk ulimwengu we2 wa leo; WAR AGAINST WOMEN'S DISCRIMINATION
 
Inawezekana na inatokea kwa baadhi ya wanawake kama inavyotokea kwa baadhi ya wanaume. Inategemea na ujasiri wa mhusika. Baadhi yetu hatuna kifua cha uvumilivu hata kama umeoa lakini kwa bahati nzuri au mbaya ukakutana na mtu ambaye uliwahi kuwa na mahusiano naye siku za nyuma kabla ya kuoa, moyo unashindwa kustahimili unajikuta unachokoza. Sasa bahati mbaya na upande wa pili ukilemewa ndo basi tena. Na wakati mwingine inatokea kwa kuwa kama mlishwahi peana, dada anakutafuta akitaka.. hata kama anajua umeoa, so kama kaka nawe unakuwa legelege mchezo unaendelea. Kwa hiyo suala la udhaifu liko pande zote na kwa msingi huo basi hata kichwa cha thread kingekuwa "confirmed: mkishapeana mara moja, hata baada ya ndoa mnaweza peana.
 
una uhakika wewe?
au demu wako alivyodinywa na x wake bas ndo mademu woooooooooooote watadnywa na ma x wao?
izi topic za kudhalilisha akiyamungu bas tu....
NImeipenda sana lugha uliyotumia, lakini kuna msemo wa kiswahili unasema KIPORO HAKIITAJI MOTO MWINGI KULIWA!!!!!!
Sijui kama kuna ukweli katika msemo huo?
 
Sasa hii inatisha maana tunaoa wake wameshapitia o level, A level na vyuo, bado sehemu alizotembelea jumlisha na nyumbani kwao, kote huko pengine alikuwa na wapenzi tofauti na waliachana si kwa kugombana bali kwa vile shule/chuo wamemaliza kila mtu anarudi kwao. Hapa mimi pressure inapanda, pressure inashuka, ok napotezea kwani hata mimi huwa natoka nje ya ndoa bila wife kujua ila mara chache chache sana.

Wasomaji wa Biblia nisomeeni WAGALATIA 6 :7 unaweza kundelea mpaka mstari wa 10!
 
habatri ndio hiyo, 75 % hamna kitu ndio maana nasema Afrika na duniani hakuna ndoa moja kumbe ri wife bado linachakachua hadi sasa,ok dawa ya moto ni moto na aids ni majivu tu.
 
Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.

Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.

Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

  1. Kumega
  2. Chapa ilale
  3. Gonga
  4. Piga etc

Mi nashangaa!!!!!!!! Naona wanawake mnaona sawa tu.........!! Ah haya bwana.

Kweli weye ni 3D, na mchango wako umekaa kimtazamo wa ID yako................!
 
Thanks kwa post yako. Nitajadili kidogo ulichoandika. Kwanza siamini ikiwa post hii au hizi zinazowekwa hapa zinakusudia kumbadilisha "mwanamke." Kwa mfano post kama hii "
Confirmed; Mwanamke yeyote akikupa mara moja ,hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

inasaidia ni nini kumbadili mwanamke. Tutaishia kubishania nadharia. Nacho-argue mimi ni repeatition za posts ambazo ni mtiririko na mwendelezo wa fikra kandamizi wa wanaume. Lugha unazodai za mitaani ambazo haziwezi kumfanya akose uaminifu ndizo hizo hizo zinazidi kumdhalilisha na kumpunguzia utu mwanamke. We unachukulia kirahisi kwa kuwa umemezwa na wingu la mfumo dume.

Mambo hayaishii tu kusema, "Hata wao wana uhuru wa kupost....." Suala si uhuru tu, suala ni uhuru na wajibu. Hatuwezi kusema chochote tu kwa kisingizio cha uhuru. Kuna staha ambazo ni lazima ziwekwe kutunza heshima na utu wa mtu. Juzi juzi hapa kuna mtu aliweka post ikimwonesha Britney spears akiwa uchi (uke wake ukionekana kabisa) sasa mambo kama haya tusingizie uhuru kweli? Mara nyingi tunaona hata kwenye Jukwaa la picha wanawake wakioneshwa makalio etc. Hoja yangu ni kuwa, ni nini implication ya haya? Tusiishie kuona picha na kucheka. Tuone picha, maana ya picha na maana ya kuwekwa picha husika.

Tatizo ni kuwa wanawake wamegeuzwa kuwa vitu badala ya watu.

Naona unaelekea kutaka kunishambulia kwa maneno, how come useme nimemezwa na wingu la mfumo dume?? Au kwa vile mimi ni mwanaume, basi unajenga hoja kuwa kila mwanaume ni hupenda kushambulia wanawake??? Unanifahamu vizuri??? Ni vema ukarudi ktk mstari kwa kujadili nilichoandika, kama umeona nimeenda kinyume na maoni yako basi ipinge kwa kuijadili hoja husika, sio kuniingilia kwa kuniita nimemezwa na mfumo dume???
Pili, haya yanayosemwa hapa ni mageni kwa watu??? Je hao wanaovaa hizo nguo za kuonyesha makalio ni zao la mfumo dume?? Je aliyepiga picha hizo ni zao la mfumo dume?? Je mwanamke kutoka nje ya ndoa ni mfumo dume??? Je unachotaka wewe ni kuzuia habari za wanawake zisiongelewe??? Je hapa ni mahali pekee ambapo umeona habari za wanawake wanazungumzwa hivi???
Tunapaswa kujua kwamba, si kila mtu hucheka akiona picha za utupu. Kama tukio lipo, lipo tu . . . haijalishi wingi wa matukio umeegemea jinsia gani. Na isitoshe uvaaji wa kuonyesha makalio, utupu n.k ni ustaarabu wa mtu mwenyewe. Tunajionea wenyewe mitaani nguo wanazovaa akina dada, na wengine hawashauriki hata wakielezwa. Sasa utaachaje kumsema mtu hapo?? Learn from the source, dont judge results
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.
nini mkiachana kwa nia njema? hata kama mlitupiana virago, kama ulikuwa unakmamua vizuri Tatulia na kukupa tena baada ya muda kama utamuomba. Haya yamenikuta. ishu ni kuwa na subira tu. mwache kwa muda hasira zipoe. pia akose yale mapigo uliyokuwa ukimpa awali. atakuja tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom