Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Tusisahau vilevile kwamba wengi wameambukizwa ukimwi kwa kukumbushia ya zamani! Wasichana wengi siku hizi wapo na ni wazuri ajabu, kwa nini uende na wake za watu?
 
Tusisahau vilevile kwamba wengi wameambukizwa ukimwi kwa kukumbushia ya zamani! Wasichana wengi siku hizi wapo na ni wazuri ajabu, kwa nini uende na wake za watu?
Kweli eeeeeh!!
 
una uhakika wewe?
au demu wako alivyodinywa na x wake bas ndo mademu woooooooooooote watadnywa na ma x wao?
izi topic za kudhalilisha akiyamungu bas tu....
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
mbona hutaki kukubali ukweli? mimi naona hata hiyo asilimia 75 sio kweli inaweza kuwa kwenye 85%.
 
Ni kweli lakini kumbuka wanaume inapenda kwa macho, hata mwanamke asiye mpenda inaweza lala naye, lakini mwanamke yenyewe kwake sivyo inapenda kwa moyo. ni kama kuruhusiwa kuingia nyumbani ya mtu. hakuingizi hivihivi na ukisha ingia kutoka kazi, hadi sululu zitumike.

kwenye red ndio panapo sababisha mechi za marudiano....!!!
 
Alaaa kumbe so it means yule girlfriend wangu aliyeolewa nikienda ku-test tena nitapewa duh inanifanya nipate :hungry::hungry: ya ku-rewind mechi tena will do nidful nimtafute nione if it will work out lol!!!!!!!!
 
just want to tell you that this applies to men too! If a woman have had an affair with a man and got separated with a so called 'excuses' when they meet again, a man will not resist having sex!!

Note: It is a two way thing!
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

hii ni kweli aisee tena ving'amuzi vingine hua vinakumbushia vyenyewe
 
hii ni kweli aisee tena ving'amuzi vingine hua vinakumbushia vyenyewe
wanaume wa kitanzania mnatabia mbaya sana. mnapenda kuwatupia wanawake lawama zote!! Hivi, wewe huwa hukumbushii? Mbona ukijibiwa kwamba 'nimeolewa' huwa unaendelea kumshawishi kwamba 'haitokuwa na tofauti yeyote'????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom