Kama kuna uhitaji huo inakuaje haifanyiki siku zote? Ni gharama kwa nchi zetu au inakuaje? Nchi za watu hasa huko ulikosomea huwa inakuaje? Ni kitu kipya kukisikia kwa sie tusio madaktariNazani mtaniunga mkono kwa maana;-
Kuna mwaka flani nikiwa bado kcmc nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi....
Yaani uandishi wako unazidi kuprove wewe si daktari bana.Embu andika tuone na wewe daah yani bongo bana amjaona elimu mmeona broken tu inashangaza mno
Kwani kazi ya mods ni nini?
Asante mkuu wenzio wanaona broken tu awaoni ujumbe ila naomba jf sa ivi mtu kuchangia mada atume namba zake za nida ili tusiwe tunaangaishana na vifaranga
Kitaalamu hiyo inaitwa postpartum depression. Ni msongo wa mawazo unaowapata kina mama baada ya kujifungua...
Mimi sijaona hata kosa kwenye unandishi wake... Kwanini hua hatuangalii content ..mnakimbilia kwenye L na R Kama vile Ni mwalimu wa kiswahili anasahihisha mitihaniHa ha ha
Wanifurahisha sana na uandishi wako.
Kama u msomi basi hujaelimika walahi....huna tofauti na uandishi wa darasa la saba.
Inakera bwana, wasomi wabadilikeMimi sijaona hata kosa kwenye unandishi wake... Kwanini hua hatuangalii content ..mnakimbilia kwenye L na R Kama vile Ni mwalimu wa kiswahili anasahihisha mitihani
mimi nilichoka sana maumivu ya mshono sikumtamani mtoto siku 2 alipumzishwa bila kumuona manesi walijua mama ake kafa siku a 3 naenda kunyonyesha wakashangaaNakumbuka nilivyotoka kujifungua nilikuwa na hasira mno yaani hata kumgusa mtoto sikuwa natamani,
kila kitu kilikuwa kibaya kwangu,kichwa kikawa kama kina vurugu hata sielewi.
Wewe ndo msomi unayekera. Umesoma kote huko miaka mingapi sijui ya udaktari unashindwaje kurekebisha makosa madogo kama hayo?Sure kabisa afu ukimuuliza elimu yake inamchango gani kwa jamii unaskia inanipa laki nane kwa mwezi
Mimi sijaona hata kosa kwenye unandishi wake... Kwanini hua hatuangalii content ..mnakimbilia kwenye L na R Kama vile Ni mwalimu wa kiswahili anasahihisha mitihani
Inakera bwana, wasomi wabadilike
Mkuu na uishi sana