Mwanamke wa kuishi naye


Benaco

Benaco

Member
Joined
May 17, 2017
Messages
73
Likes
119
Points
40
Benaco

Benaco

Member
Joined May 17, 2017
73 119 40
Habari,

Mimi ni mstahafu, natafuta mwanamke wa kuishi naye. Umri kuanzia miaka 18 mpaka 100. Hata kama ana watoto.

Naishi Mbezi Beach Dar. Ni Pm
 
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,867
Likes
3,980
Points
280
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,867 3,980 280
Habari, mimi ni mstahafu natafuta Mwanamke wa kuishi naye. Umri kuanzia miaka 18 mpaka 100. Hata kama ana watoto.
Naishi mbezi Beach dsm. Ni Pm
Mkuu, ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
Kuna thread ulisema unaumri wa miaka 29 na unaishi Wami
Kumekucha, Pesa za kustafia tayari umeshaingiziwa?? Sh ngp?? Jibu hapo nifanye maamuzi magumu ya kumalizia uzee wako
Natafuta Girlfriend
 
moses Mwanja

moses Mwanja

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Messages
539
Likes
452
Points
80
Age
34
moses Mwanja

moses Mwanja

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2016
539 452 80
Habari,

Mimi ni mstahafu, natafuta mwanamke wa kuishi naye. Umri kuanzia miaka 18 mpaka 100. Hata kama ana watoto.

Naishi Mbezi Beach Dar. Ni Pm
huko mbezi mbona kuna watoto wakali sana, lakini nakumbuka ulileta thread kama hii unatafuta girlfriend na unakaa wami, au chokoraa mzee
 
Benaco

Benaco

Member
Joined
May 17, 2017
Messages
73
Likes
119
Points
40
Benaco

Benaco

Member
Joined May 17, 2017
73 119 40
huko mbezi mbona kuna watoto wakali sana, lakini nakumbuka ulileta thread kama hii unatafuta girlfriend na unakaa wami, au chokoraa mzee
Kwani nanyie mnatafuta mume mbona mnawagasi wenzenu?
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,064
Likes
8,682
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,064 8,682 280
Habari,

Mimi ni mstahafu, natafuta mwanamke wa kuishi naye. Umri kuanzia miaka 18 mpaka 100. Hata kama ana watoto.

Naishi Mbezi Beach Dar. Ni Pm
Mstahafu au mstaafu???Kama umetoka nchi jirani urudi kwenu
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,731
Likes
13,993
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,731 13,993 280
Msta(h)afu umezeeka vibaya.

Vipi lakini pensheni bado ipo?
 
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
7,091
Likes
9,127
Points
280
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
7,091 9,127 280
Kama kweli ni mstaafu utakua una hamu ya kuliwa vijisent vyako wewe
 

Forum statistics

Threads 1,239,074
Members 476,371
Posts 29,341,279