MC Lyte nimeikubali. Simple and cute!
but too short dude..
Hivi style za wanawake za nguo huwa zinalenga nini jamani???
Hivi style za wanawake za nguo huwa zinalenga nini jamani???
kwani wewe hujui zinalenga nini si ni uchafu tu na uozo wa duniani
wewe angalia kisha chunguza na tambua utajua undani wake ni nini?
ila itabidi naye Mama Ngina atupie kiwalo hicho sijui
best Mtambuzi umeshamnunulia kawalo chake?
hahahaaa...mkuu unamaanisha uwanunulie watu wa hapa jukwaani?ada bei gani kwa mwaka Mpwa, naomba namba zao please niwanunulie baadhi ya watu hapa uniforms