Mwanamke uwe na nguo za ndani nyeupe nyingi utaona mafanikio

Kwenu wakina Dada nawashauri muwe na chupi nyeupe nyingi kuliko rangi yoyote Hii itakufanya mambo yako yakunyookeee kwa 100%

mwanamke ukiwa na chupi nyeusi nyekundu kijani njano kahawia inafifisha nyota yako hizi sio rangi za ukeni!! Rangi za kupendezesha ukeni ni nyeupe tu na angalau kwa mbali pink anza Leo utaniamini!!

Bila picha na ushuhuda wa mafanikio yako au waliofanikiwa baada ya kufaa nyeupe, wasiochana hawakuelewi
 
Unateseka sana kiasi usipotumiwa picha hutapiga puny**o leo Chifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Hapana kiongozi, nishaachaga hiyo michezo katikati ya miaka ya tisini (Pengine ulikuwa hujazaliwa chief- joking) but nina mke sasa na mtoto mmoja.
Ila picha inanogesha ka thread kanakuwa poa na kuleta uharisia wake, vinginevyo itakuwa ni habari isio na uhakika yani umbea tu. Ndo mana tupicha tumoja tunaitajika apa. Kwani mkuu wewe hupendi tupicha tumoja?
 
hahahaaa...nashangaa wanaume mnaponda chupi nyeusi..ukipata chupi nzuri kbs nyeusi dah..!mm nabarikiwa sana na hizo color..sema napishana nazo sana kuzipata..!ww unazionaje...
Zipo rangi nzuri zaidi ya nyeupe na zinawapendeza wadada (na-refer vazi la ufukweni kwenye mashindano ya umiss).

Nashindwa kutoa maoni kuhusu nyeusi....ningeona kwanza zinavyokukaa.
 
Zipo rangi nzuri zaidi ya nyeupe na zinawapendeza wadada (na-refer vazi la ufukweni kwenye mashindano ya umiss).

Nashindwa kutoa maoni kuhusu nyeusi....ningeona kwanza zinavyokukaa.


😂😂😂😂...pink inafuatia. hata hivyo unaonekana mjanja wa nguo za wadada...!kwangu mm pink na blak ..napendelea zaidi..nahis nyeupe nimezivaa saaaana🙈
 
Rangi zote ni nzuri na zinafaa kwa matumizi!
Wala hatuhitaji kukariri kuwa rangi nyeupe au rangi fulani kuwa yenye kufaa pekee!

Yani kuanzia Januari hadi December mtu awe anavaa nyeupe tu?
Mwaka wa kwanza , wapili na kuendelea?

Inakifu kama siyo kukinaisha !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom