We Cheka tu.
Nakulia taiming.
Nimekuona kule nyuma ya Pazia unaomba urudiane na Mamndenyi,
kuwadi wako St. Paka Mweusi.
Ole, ole, ole,
nitawachinja.
Unamjua Manyaunyau wewe??
Yule Babangu mkubwa,
nakugeuza Chatu.
Dah kumbe ni bora kuwa likorofi tu full ulabu.....!!
BADILI TABIA amesema atakupa sijui atakukula 3 times a day; nilitaka usikie tu!Labeka Kaunga, nimekuitika kwa kuwa nimeambiwa umeniita.
BADILI TABIA amesema atakupa sijui atakukula 3 times a day; nilitaka usikie tu!
Oooh! Kumbe naniliu ! Alleged "malabrikanti ya mavilainisho"
una maakili wewe ujue ?
Me nikimpata mume kama huyo,
Namuendea Bagamoyo kabisa ili 'asizinduke' milele.
We Cheka tu.
Nakulia taiming.
Nimekuona kule nyuma ya Pazia unaomba urudiane na Mamndenyi,
kuwadi wako St. Paka Mweusi.
Ole, ole, ole,
nitawachinja.
Unamjua Manyaunyau wewe??
Yule Babangu mkubwa,
nakugeuza Chatu.
Arushaone ana machale mwili mzima sijui kama za bwagamoyo zitamtuliza.
Hao waganga wenyewe wana Mjanja wao.
Sembuse X wako?
Tutawekana sawa tu.
Kaka ndio unalivumbua leo hilo,sisi wengine ni ulabu kwa kwenda mbele wameshaitisha mpaka vikao vya wajomba maana kwa wazazi ilishindikana..
ha ha ha ha haaa,
nimeachana naye 100%
si unanijua mimi mama yako nilivyo na roho ndogo.
Sitomruhusu afikie hapo.
View attachment 65977
Mumeo akiwa wa namna hii utajisikiaje/jihisije/chukuliaje.......?
Saa kumi "10" akitoka jobni moja kwa moja home.....!!!
Hata overtime hatiki............!!
mbona kawaida tuView attachment 65977
Mumeo akiwa wa namna hii utajisikiaje/jihisije/chukuliaje.......?
Saa kumi "10" akitoka jobni moja kwa moja home.....!!!
Hata overtime hatiki............!!