Mwanamke usiogope kusema kama umezaa kumbuka kuna wengine wanapenda mitumba kuliko hata spesho

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
587
783
Seriously niwapongeze single mamas wote kwa kupiga hatua kimaendeleo, maana suala LA kuzaa ni majaaliwa, sasa niwaambie single mama acheni kuogopa kumwambia mwanaume kama ww tayari unamtoto wakati unaanzisha uhusiano mpya kwa kuhofia kupoteza Sifa za kuolewa na huyo mwanaume, watu wako tofauti bhana kila mtu na mtazamo wake.

Hata kwenye mavazi kuna watu wanapendelea zaidi mtumba kuliko spesho, jiulize lini mitumba imekosa soko nenda karume pale, nenda Ukaone watu wanavyonunua mitumba na wakiwa wanajua kua ishatumika lakini bado Wananunua kiroho safi tuu,

Watu Wananunua nyumba na magari used na wanapenda coz yametestiwa na kujua ubora wake ,km wewe unamtoto mwanaume atakuwa na uhakika kuwa Wewe sio mgumba, so ukikutana na mwanaume mwambiee tuu km ushazaa kwa kujiamini huwezi jua mengine mwachie Mungu. Single mamas sauti inatosha Au Niongeze
 
Umeongea ukweli ila huwa ni ngumu kwao kuanza kuisema hiyo kauli.

Hujihisi value itashuka fasta, pia akishasema amezalishwa; me mpya anachowazia ni mahusiano kati ya ke na baba wa mtoto huyo kama unavyojua wanaume hatupendi kushea mwanamke wa malengo labda kama unapiga na kusepa.
 
Hivi kweli mwanamke hawezi kuvunja uhusiano kbs kimapenzi na baba mtoto wake? Coz nahisi hili wanaume Huwa tunalihofia sana
 
Hivi kweli mwanamke hawezi kuvunja uhusiano kbs kimapenzi na baba mtoto wake? Coz nahisi hili wanaume Huwa tunalihofia sana
Kuvunja anaweza kabisa ila hutaamini kama amevunja , hivyo itakupelekea kuishi kwa wasiwasi na kushindwa kuwaza mambo ya maana.

Ndiyo maana wengi hawapendi sana kufikiria kuoa single mother ila ni watu wazuri unapompata anayejitambua ila mkubaliane kwanza, lasivyo gunia mbili za mkaa zitawaamua.
 
Mimi ninavyo amini hata ambaye sio single mother lakini aliye tolewa usichana wake huwa na amini huwa ni mke wa mtu
Hata ukinikuta mtumbani haimaanishi napenda nguo za mitumba hapana ni vile huwezo wangu umefikia hapo.
 
Back
Top Bottom