Mwanamke: Usafi wa K ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Salam!

Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada

Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya kunuka K sana, sijui ni maradhi au ni uzembe tuu ktk usafi, wanaume wengi wamekuwa wakimya kuwaeleza wapenz wao kuhofiwa kunyimwa mzigo na hivyo kuvumilia hizo harufu ili wapate mzigo

Mf: mwanamke anatoka mishe mishe jioni anapitia kwa mshikaji hajaoga wala kujisafisha na ana comfidence ya kuvua chupi, mwingine katoka kupigwa mzigo hajaoga na anavua kwingine, mwingine hajaoga tangu jana jiona asbh kaamkia mswaki mwili haujui maji saa tano sita mchana kaenda kutoa mzigo n.k unategemea bado hunuki?

Lip stiks na make ups ndo wanachojua, lakini sio kujipiga msasa uvunguni vile inavotakiwa, harufu za uozo au yai viza, usaha, kuchacha, utoko n.k zimetawala kama hana haruf hii basi ana ile, ghafla akivua nguo chumba kinanuka haruf kali hadi kichwa kinauma, kwa nje haendani na uzuri au umaridadi wake

Kuambiwa ukweli na mpenzi wako ni ngum isipokuwa kwa wachache, jichunguze mwenyewe au anza wew kumuuliza mwanamme wako jee K inanuka, kwa teqniks etc anzia mbali..

Hili ni kama janga kwa wanawake wa sasa.

Mashuda tushuhudie hapa, wenye kushauri tushauri hapa na wengine tugonge likes

Source: Tomato Source
Kagua mwanamke unaebeba kama ana makucha kama jini pita mbali
 
hii issue kwa sasa ni janga kwa wanawake wengi sana, kuanzia masista duu,mabinti toka familia bora, wanawake wasomi, wake za watu mpaka mademu wa uzwazi.

niliwahi kumuuliza daktari mmoja rafiki yangu chanzo cha tatizo hili.

akaniambia moja ya chanzo ni vile vijiti vya kufunga uzazi wanavyopachikwa wanawake kwenye miili yao. hakuna shaka kwamba wanawake zetu wengi wanatumia mbinu hii kuzuia mimba.

kwa maelezo ya yule daktari aliniambia vile vijiti vina madhara makubwa sana kwa wanawake.

wapo wanaopata madhara ya ku-breed mfululizo mwezi mzima, wapo wanopata madhara ya kunenepa hovyo, wapo wanaopata madhara ya kuugua UTI kila mara, wapo wanaopata madhara ya kukauka kwa ute ute unao lainisha kuta za uke, wapo wanaokosa hamu ya tendo la ndoa, wapo wanapata madhara ya K zao kutoa harufu mbaya nk.

hata hivyo hili la kutokusafisha K vizuri nalo linachangia.
 
Back
Top Bottom