Mwanamke: Usafi wa K ni zaidi ya muhimu, harufu mbaya zimezidi

Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
2,897
Points
2,000
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
2,897 2,000
Jamani, ili sex iwe na raha ni vyema mkaoga na kusafisha vinywa kaba ya kuingia uwanjani
Kwa kweli ..yaan uchafu unafanya mambo yanakuwa adhabu na karaha tupu mmh
 
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
2,897
Points
2,000
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
2,897 2,000
Ili mwenza asikuone kama unamchukuliaje? mpe taulo na mswaki then nawe chkua vilevile mwambie twenzetu tukaanzie bathroom
Hii ni njia nzuri maana mtu anaweza ona umemdharau bure kumbe tu mambo mengine hayavumiliki
 
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
11,081
Points
2,000
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
11,081 2,000
Kuna K moja juzi kati hapa nikaipiga deki bhana weeee, hii UTI na Typhoid inayonigandamiza now sijui kama itaniacha salama.
Kwa niaba ya wapiga deki tunakupa pole sana mkuu

Cc Zero IQ

Behaviourist
 
Granta

Granta

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
4,635
Points
2,000
Granta

Granta

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
4,635 2,000
Kwa niaba ya wapiga deki tunakupa pole sana mkuu

Cc Zero IQ

Behaviourist
Asante sana mkuu, nilikuwa admitted; Jana ndio nikaruhusiwa japo bado nimeandikiwa sindano za masaa
 
Zesh

Zesh

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
12,926
Points
2,000
Zesh

Zesh

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
12,926 2,000
Salam!

Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada

Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya kunuka K sana, sijui ni maradhi au ni uzembe tuu ktk usafi, wanaume wengi wamekuwa wakimya kuwaeleza wapenz wao kuhofiwa kunyimwa mzigo na hivyo kuvumilia hizo harufu ili wapate mzigo

Mf: mwanamke anatoka mishe mishe jioni anapitia kwa mshikaji hajaoga wala kujisafisha na ana comfidence ya kuvua chupi, mwingine katoka kupigwa mzigo hajaoga na anavua kwingine, mwingine hajaoga tangu jana jiona asbh kaamkia mswaki mwili haujui maji saa tano sita mchana kaenda kutoa mzigo n.k unategemea bado hunuki?

Lip stiks na make ups ndo wanachojua, lakini sio kujipiga msasa uvunguni vile inavotakiwa, harufu za uozo au yai viza, usaha, kuchacha, utoko n.k zimetawala kama hana haruf hii basi ana ile, ghafla akivua nguo chumba kinanuka haruf kali hadi kichwa kinauma, kwa nje haendani na uzuri au umaridadi wake

Kuambiwa ukweli na mpenzi wako ni ngum isipokuwa kwa wachache, jichunguze mwenyewe au anza wew kumuuliza mwanamme wako jee K inanuka, kwa teqniks etc anzia mbali..

Hili ni kama janga kwa wanawake wa sasa.

Mashuda tushuhudie hapa, wenye kushauri tushauri hapa na wengine tugonge likes

Source: Tomato Source
Kagua mwanamke unaebeba kama ana makucha kama jini pita mbali
 
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
11,081
Points
2,000
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
11,081 2,000
Asante sana mkuu, nilikuwa admitted; Jana ndio nikaruhusiwa japo bado nimeandikiwa sindano za masaa
Katiba ya CCWDT (chama cha wapiga deki tz) unayo?
 
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
11,081
Points
2,000
Hazard CFC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
11,081 2,000
Kipengele cha 8 kimeeleza vizur sana kuhusu kuzingatia usaf wa k,na trick za kuijua k ya kupiga deki na za kupotezea...pole sana
Sinayo mkuu, nitumie kwa pm
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,543
Points
2,000
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,543 2,000
hii issue kwa sasa ni janga kwa wanawake wengi sana, kuanzia masista duu,mabinti toka familia bora, wanawake wasomi, wake za watu mpaka mademu wa uzwazi.

niliwahi kumuuliza daktari mmoja rafiki yangu chanzo cha tatizo hili.

akaniambia moja ya chanzo ni vile vijiti vya kufunga uzazi wanavyopachikwa wanawake kwenye miili yao. hakuna shaka kwamba wanawake zetu wengi wanatumia mbinu hii kuzuia mimba.

kwa maelezo ya yule daktari aliniambia vile vijiti vina madhara makubwa sana kwa wanawake.

wapo wanaopata madhara ya ku-breed mfululizo mwezi mzima, wapo wanopata madhara ya kunenepa hovyo, wapo wanaopata madhara ya kuugua UTI kila mara, wapo wanaopata madhara ya kukauka kwa ute ute unao lainisha kuta za uke, wapo wanaokosa hamu ya tendo la ndoa, wapo wanapata madhara ya K zao kutoa harufu mbaya nk.

hata hivyo hili la kutokusafisha K vizuri nalo linachangia.
 
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
27,863
Points
2,000
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
27,863 2,000
Miili yetu sisi wanaadam inahitaji USAFI wa hali ya juu
 

Forum statistics

Threads 1,342,658
Members 514,746
Posts 32,758,976
Top