Mwanamke unayeishi naye akikwambia anakuchikia toka moyoni kuna haja ya kuendelea naye?

Ktk hali ya hasira, lakini si mara ya kwanza kurudia kauli kama hizo. Amekuwa akirudia mara kwa mara sana.
Nakushauri, fanya nae kikao. Umueleze jinsi unavompenda na jinsi ungetamani maisha yenu yawe na ya mtoto wenu.

Baada ya hapo mweleze kwa upole kabisa na kwa upendo jinsi ulivyoumizwa na kauli yake ya kuwa anakuchukia sana toka moyoni.

Mwisho: mwambie kuwa hakuna haja ya yeye kuendelea kukuchukia wakati uamuzi anao yeye. Mwambie atoe yaliyomoyoni mwake kwamba ili aache kukuchukia angetamani uweje au ufanye nini. Pia mpe uhuru wa kuamua hatima ya maisha yake hapo hapo kuliko kuendelea kukuchukia.

Kwa maana nyingine, usiwe chanzo cha familia yako kusambaratika wala kuachana. Mwachie yeye mwenyewe afanye chochote anachotaka kwa usalama wako, wake na wa mtoto wenu.

Nina imani, kama ataamua kuondoka huo utakuwa mwanzo wa yeye kuhangaika na kujitaftia msaibu ambayo kwa sasa hako nayo. Miaka inayokuja atarudi kwako kwa magoti na kulia.

Kumbuka usalama wako kwanza.
 
Mkuu hajaridhika kabisa, yaani ndiyo kwanza kaliamsha. Nahisi anayempagaisha anamtumia matumizi tofauti na mm.
 
Mkuu hajaridhika kabisa, yaani ndiyo kwanza kaliamsha. Nahisi anayempagaisha anamtumia matumizi tofauti na mm.
Wewe ulimfanyia nini mbona hutaki kusema ulichomfanyia?...mtu hawezi kukurupuka tu na kusema anakuchukia labda chizi
 
Ndugu wanajamvi; nimeona nipate angalau maoni yanayoweza kunifanya nijue njia sahihi ya kuchukua ama nichukue hatua zipi baada ya kupata maoni na ujuzi tofauti kutoka kwenu.

Je mwanamke unaeishi naye kwa zaidi ya miaka 7 na mkafanikiwa kuuza mtoto mwenye umri wa miaka minne, ni akikuambia anakuchukia sana kutoka moyoni mwake, angali ww unampenda sana kuja haja ya kuendelea kuishi naye?

Na kama kuna haja kuna haja ya kuendelea kuonyesha ule upendo wa dhati kwake? Ni njia zipi zinazofaa kuthibitisha hilo?

Je naweza kuchukua hatua nyingine kwa kuwa hanipendi?
Je yawezekana akawa na mtu mwingine. Huduma zote huwa namtimizia. Ila yeye hataki kabisa kunipa hadi ule mchezo wa kitandani, na nikilazimisha huwa hashuguliki kwa chochote. Ingelikuwa ww ungefanyaje?

Naomba kuwasilisha nipate na mchango wenu wa mawazo.
Mwambie akaombe talaka mahakamani utakuua huyo muda si mrefu. Kasha pata mwanaume wa ukweli.
 
Back
Top Bottom