Mwanamke unaweza kuacha kazi ili ulee familia?

Kwahio kumbe ukiwa una comment toka nje ya Nchi unakuwa mwanaume mwenye hela eeh !!! Mungu anijalie afya namie niende zangu panapomwagika barafu deile.
We hata uwe unacomment kutoka sayari ya utaridi utajulikana tu kuwa hauna hela
 
Mumewe muelewa na anayejitambua, mi niliacha kazi kuja kulea familia hakuna nyota ambayo sijaona.. Dharau, michepuko ikaanza hapo hapo, mwanaume kabadilika hadi anatisha.. NAJUTAA.. Sishauli mwanamke yeyote kuacha kazi kwa sababu yoyote iwe mwanaume au familia. Kipato cha mwanamke ndo ulinzi wake
 
Back
Top Bottom