Honestly hata video sjacheki nimejibu heading tuuuu Na sielewi kilichomoHivi kumbe dini inaruhusu ??
huna bando wwHonestly hata video sjacheki nimejibu heading tuuuu Na sielewi kilichomo
Yeah ameongea point Kua ukiwa Na mmeo jiachieHaya bana... Network Search
Nimeshaangalia nnalo telehuna bando ww
Dini inaruhusu kwa wenye ndoa tu, uko ndani na mumeo vua dira, vua hijab jiachie kwenda mbele ukitoka nje vaa nguo za staraHivi kumbe dini inaruhusu ??
vi mb vyako 8 vishaishaNimeshaangalia nnalo tele
Alichoongea n kweli Na n Kwa Mme tuuu si hawara Wala naniHaya bana... Network Search
Unaumwa nina GB mojavi mb vyako 8 vishaisha