Mwanamke: Unamchagua yupi? Mwanaume anayekufikisha au mwanaume mwenye muafaka?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
couple-bath-romance-pf.jpg

Kwa wanawake kupenda kunawachanganganya sana, tofauti na wanaume. kwa mwanamke kupenda kunahusisha mambo mengi na kila mmoja anazo sifa zake anazozipa kipaumnbele ingawa hazitofautiani sana.

Kuna wakati mwanamke anaweza kumpata mwanaume mwenye sifa muafaka, wenyewe wanaita husband material. Mwanaume mwenye muonekano mzuri yaani handsome, mtanashati, msikivu, mwenye kujitoa pale mpenzi wake anapomuhitaji, asiye na makuu, mwenye kupenda familia hususan watoto na mcha Mungu. Huyu kwa wanawake wengi ndiye mwanaume wa ndoto zao.

couple-bed-1-pf.jpg

Lakini baada ya muda mrefu wa kufahamiana na mwanamke anapoamua kujinasibu na kuukabidhi moyo wake kwa huyu mpenzi wake mpya kwa kuugawa utukufu wake kunako 6x6 anajikuta hafikishwi popote halafu mwanaume anageukia ukutani na kukoroma na yeye akibaki kukodolea macho dari akiwa na msongo wa mawazo.

Hata baada ya kujaribu tena na tena mpaka kujitahidi kutoa msaada wakiwa ndani ya uwanja wa 6x6 lakini mambo hayaelekei kuwa kama alivyotarajia. kwa kifupi ni kwamba mwanaume huyu hawezi utundu wakitandani zaidi ya yeye kujiridhisha peke yake, lakini pia hatoi ushirikiano kama inavyotakiwa, na jogoo wake hawiki ipasavyo.

Ikumbukwe kwamba kila mwanamke anapopata mpenzi mpya kabla ya tendo anakuwa na ndoto nyingi jinsi siku hiyo ya kukutana kimwili itakavyokuwa. Mwanamke atajitahidi kujenga picha nzuri nzuri jinsi busu lake la kwanza litakavyokuwa, jinsi atakavyofikishwa kileleni na mpenzi wake mpya, ilimradi atakuwa na ndoto tamu tamu zisizoisha hamu. Sasa mambo yatakapokuwa tofauti na matarajio yake, lazima atapata msongo wa mawazo.

Inakuwaje mambo haya..........!

Lakini yupo mpenzi wa zamani, huyu hana sifa za kuitwa husband material, ni mwanaume mnyanyasaji na mkatili kwa wanawake. Ni mwanaume mbinafsi na asiyejua majukumu yake kama mwanaume zaidi ya ubinafsi na ulevi kupindukia, ila kunako uwanja wa 6x6 ni hodari kweli kweli, anayajua mambo ya kitandani usipime. Ni mwanaume ambaye ukiwa naye kitandani unahisi kama uko peponi kwa jinsi anavyoyajua mambo.

Hapo ndipo mwanamke anapobaki njia panda ampende yupi?

Wapo baadhi ya wanawake hufanya maamuzi magumu, kukubali kuolewa na mwanaume mwenye muafaka lakini linapokuja swala la kutimiziwa yale ya kitandani analazimika kutoka nje ya ndoa kwa kwenda kwa mpenzi wa zamani ambaye anayajua ya kitandani.

Uamuzi huo ni wa hatari sana na hauwezi kuwa na mwisho mwema kwani mwisho wa siku ndoa hiyo inaweza kuingia katika vurugu na hata kuvunjika na watoto wakabaki wakipata shida.

Je mwanamke, iwapo utakutana na mtihani kama huu, utachukua hatua gani?
 
Acha waje wanawake watoe majibu.

Ndio maana dini na hata wazee wa zamani na mila nyingi walishauri haya mambo yafanyike kwenye ndoa tu.
Hii ikimaanisha kwamba, mnapoingia kwenye ndoa wote ni brand new, hakuna reference ya uzuri wa kulinganisha.
Kwa maana hiyo utaridhika na utakachokipata.
 
Pokea malike ya kutosha...lkn mkuu..hata kama huna wa kulinganisha ina maana huwezi kuona mapungufu? Mimi ngoja ni-imagine kuwa haya mambo yangekuwa yanaonekana kwa macho (yan unaweza kumtambua mtu mwenye tatizo kitandani kwa kumuangalia) kiukweli ningechagua huyo wa pili....hayo mambo mengine tunarekebishana tu taratibu
 
....haya wanawake toeni simulizi zenu.....na huu kweli ni mtego kwa wengi,,,,nasikia wale wauza mboga wa door to door,,,,wana nyumba zao za kutoa huduma.....ile yenye mikito ya utamu......
 
couple-bath-romance-pf.jpg

Kwa wanawake kupenda kunawachanganganya sana, tofauti na wanaume. kwa mwanamke kupenda kunahusisha mambo mengi na kila mmoja anazo sifa zake anazozipa kipaumnbele ingawa hazitofautiani sana.

Kuna wakati mwanamke anaweza kumpata mwanaume mwenye sifa muafaka, wenyewe wanaita husband material. Mwanaume mwenye muonekano mzuri yaani handsome, mtanashati, msikivu, mwenye kujitoa pale mpenzi wake anapomuhitaji, asiye na makuu, mwenye kupenda familia hususan watoto na mcha Mungu. Huyu kwa wanawake wengi ndiye mwanaume wa ndoto zao.

couple-bed-1-pf.jpg

Lakini baada ya muda mrefu wa kufahamiana na mwanamke anapoamua kujinasibu na kuukabidhi moyo wake kwa huyu mpenzi wake mpya kwa kuugawa utukufu wake kunako 6x6 anajikuta hafikishwi popote halafu mwanaume anageukia ukutani na kukoroma na yeye akibaki kukodolea macho dari akiwa na msongo wa mawazo.

Hata baada ya kujaribu tena na tena mpaka kujitahidi kutoa msaada wakiwa ndani ya uwanja wa 6x6 lakini mambo hayaelekei kuwa kama alivyotarajia. kwa kifupi ni kwamba mwanaume huyu hawezi utundu wakitandani zaidi ya yeye kujiridhisha peke yake, lakini pia hatoi ushirikiano kama inavyotakiwa, na jogoo wake hawiki ipasavyo.

Ikumbukwe kwamba kila mwanamke anapopata mpenzi mpya kabla ya tendo anakuwa na ndoto nyingi jinsi siku hiyo ya kukutana kimwili itakavyokuwa. Mwanamke atajitahidi kujenga picha nzuri nzuri jinsi busu lake la kwanza litakavyokuwa, jinsi atakavyofikishwa kileleni na mpenzi wake mpya, ilimradi atakuwa na ndoto tamu tamu zisizoisha hamu. Sasa mambo yatakapokuwa tofauti na matarajio yake, lazima atapata msongo wa mawazo.

Inakuwaje mambo haya..........!

Lakini yupo mpenzi wa zamani, huyu hana sifa za kuitwa husband material, ni mwanaume mnyanyasaji na mkatili kwa wanawake. Ni mwanaume mbinafsi na asiyejua majukumu yake kama mwanaume zaidi ya ubinafsi na ulevi kupindukia, ila kunako uwanja wa 6x6 ni hodari kweli kweli, anayajua mambo ya kitandani usipime. Ni mwanaume ambaye ukiwa naye kitandani unahisi kama uko peponi kwa jinsi anavyoyajua mambo.

Hapo ndipo mwanamke anapobaki njia panda ampende yupi?

Wapo baadhi ya wanawake hufanya maamuzi magumu, kukubali kuolewa na mwanaume mwenye muafaka lakini linapokuja swala la kutimiziwa yale ya kitandani analazimika kutoka nje ya ndoa kwa kwenda kwa mpenzi wa zamani ambaye anayajua ya kitandani.

Uamuzi huo ni wa hatari sana na hauwezi kuwa na mwisho mwema kwani mwisho wa siku ndoa hiyo inaweza kuingia katika vurugu na hata kuvunjika na watoto wakabaki wakipata shida.

Je mwanamke, iwapo utakutana na mtihani kama huu, utachukua hatua gani?

Wanaume pia wanataka wanawake wanaoweza mambo kwenye 6x6.
 
tatizo tunashake before time na hii ndo tatizo boss

kuna wanaosema 6*6 ndo muhimu kwangu sio kwa maana hakuna aliyezaliwa akijua haya mambo kwa kauli ya upendo ntamfundisha na ataelewa na atanikuna napoataka...

mimi mwanaume nayejitambua ndo muhimu kwa maana kama ana akili na uelewa hataokuwa mgumu kufundishika chochote
 
Wapo baadhi ya wanawake hufanya maamuzi magumu, kukubali kuolewa na mwanaume mwenye muafaka lakini linapokuja swala la kutimiziwa yale ya kitandani analazimika kutoka nje ya ndoa kwa kwenda kwa mpenzi wa zamani ambaye anayajua ya kitandani.

Na ndio maana kwa jinsi nilivyosikia ila sina uhakika na huo utafiti ni kwamba waliomo ndani ya ndoa kwa hapa kwetu tanzania ndio wanaongoza kwa maambukizi ya ukimwi kwa asilimia kubwa.

Naomba msininukuu vibaya najua kuna ndoa nyingi tu wandani wametulia sana.

Hapa nazungumzia wale wachepukaji/macho juu/viruka njia
 
Mh ni ngumu kumesa...anayejitambua ndio whole package ijapokuwa kumfundisha mtu mzima jinsi ya kukufikisha kazi na wanaume wengi wakiwa wabovu eneo hilo ni wagumu mno kufundishika!raha umpate anayejitambua kiasi na anayekufikisha kwani hakuna aliya kamilika kila mtu ana kasoro fulani!
 
Sasa mwanaume kama hakufikishi mie wa nini si bora nisiolewe nibaki kwetu,one of the major pillar in marriage is sex,tena kila mmoja awe satsified,hsyo.mengine yana nafasi pia ila tendo la ndoa linachukua nafasi kubwa,ndio linabeba dhana nzima ya ndoa
 
tatizo tunashake before time na hii ndo tatizo boss

kuna wanaosema 6*6 ndo muhimu kwangu sio kwa maana hakuna aliyezaliwa akijua haya mambo kwa kauli ya upendo ntamfundisha na ataelewa na atanikuna napoataka...

mimi mwanaume nayejitambua ndo muhimu kwa maana kama ana akili na uelewa hataokuwa mgumu kufundishika chochote
Ina maana utampa Training ya kutosha kuhusu mambo ya 6x6
 
couple-bath-romance-pf.jpg

Kwa wanawake kupenda kunawachanganganya sana, tofauti na wanaume. kwa mwanamke kupenda kunahusisha mambo mengi na kila mmoja anazo sifa zake anazozipa kipaumnbele ingawa hazitofautiani sana.

Kuna wakati mwanamke anaweza kumpata mwanaume mwenye sifa muafaka, wenyewe wanaita husband material. Mwanaume mwenye muonekano mzuri yaani handsome, mtanashati, msikivu, mwenye kujitoa pale mpenzi wake anapomuhitaji, asiye na makuu, mwenye kupenda familia hususan watoto na mcha Mungu. Huyu kwa wanawake wengi ndiye mwanaume wa ndoto zao.

couple-bed-1-pf.jpg

Lakini baada ya muda mrefu wa kufahamiana na mwanamke anapoamua kujinasibu na kuukabidhi moyo wake kwa huyu mpenzi wake mpya kwa kuugawa utukufu wake kunako 6x6 anajikuta hafikishwi popote halafu mwanaume anageukia ukutani na kukoroma na yeye akibaki kukodolea macho dari akiwa na msongo wa mawazo.

Hata baada ya kujaribu tena na tena mpaka kujitahidi kutoa msaada wakiwa ndani ya uwanja wa 6x6 lakini mambo hayaelekei kuwa kama alivyotarajia. kwa kifupi ni kwamba mwanaume huyu hawezi utundu wakitandani zaidi ya yeye kujiridhisha peke yake, lakini pia hatoi ushirikiano kama inavyotakiwa, na jogoo wake hawiki ipasavyo.

Ikumbukwe kwamba kila mwanamke anapopata mpenzi mpya kabla ya tendo anakuwa na ndoto nyingi jinsi siku hiyo ya kukutana kimwili itakavyokuwa. Mwanamke atajitahidi kujenga picha nzuri nzuri jinsi busu lake la kwanza litakavyokuwa, jinsi atakavyofikishwa kileleni na mpenzi wake mpya, ilimradi atakuwa na ndoto tamu tamu zisizoisha hamu. Sasa mambo yatakapokuwa tofauti na matarajio yake, lazima atapata msongo wa mawazo.

Inakuwaje mambo haya..........!

Lakini yupo mpenzi wa zamani, huyu hana sifa za kuitwa husband material, ni mwanaume mnyanyasaji na mkatili kwa wanawake. Ni mwanaume mbinafsi na asiyejua majukumu yake kama mwanaume zaidi ya ubinafsi na ulevi kupindukia, ila kunako uwanja wa 6x6 ni hodari kweli kweli, anayajua mambo ya kitandani usipime. Ni mwanaume ambaye ukiwa naye kitandani unahisi kama uko peponi kwa jinsi anavyoyajua mambo.

Hapo ndipo mwanamke anapobaki njia panda ampende yupi?

Wapo baadhi ya wanawake hufanya maamuzi magumu, kukubali kuolewa na mwanaume mwenye muafaka lakini linapokuja swala la kutimiziwa yale ya kitandani analazimika kutoka nje ya ndoa kwa kwenda kwa mpenzi wa zamani ambaye anayajua ya kitandani.

Uamuzi huo ni wa hatari sana na hauwezi kuwa na mwisho mwema kwani mwisho wa siku ndoa hiyo inaweza kuingia katika vurugu na hata kuvunjika na watoto wakabaki wakipata shida.

Je mwanamke, iwapo utakutana na mtihani kama huu, utachukua hata gani?

pagumu sana hapo
 
Kweli kabisaa upendo ni kipa kitu mengine ni ya ziada tu kwan ukimpenda mwanaume toka moyonii lazima akuridhishe tu sema siku hizii umalaya tu ndio maana wanasingiziaa hawaridhishwiiiii[/QUO

Siku hiz mapenz yamekua ulimbuken ndo maana malalamiko hayaishi
 
Kweli kabisaa upendo ni kipa kitu mengine ni ya ziada tu kwan ukimpenda mwanaume toka moyonii lazima akuridhishe tu sema siku hizii umalaya tu ndio maana wanasingiziaa hawaridhishwiiiii
Kugegedana kwa mwanaume kama hajui hajui,wanawake wangapi wana watu ambao mnawaita husband material wanatoka nje kulambwa nao.
 
Wanawake, nipeni madini ili nijue wapi pa kuwashika vizuri ili msichomoke na ikiwezekana niwageuze mazezeta ikibidi.
 
Sasa mwanaume kama hakufikishi mie wa nini si bora nisiolewe nibaki kwetu,one of the major pillar in marriage is sex,tena kila mmoja awe satsified,hsyo.mengine yana nafasi pia ila tendo la ndoa linachukua nafasi kubwa,ndio linabeba dhana nzima ya ndoa

na kunawaosema marriage is more than sex

koh koh koh
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom