Mwanamke Umejitunza Sanaa, Sawa but Where Is Your Happy Ending? Part 3. Yamkuta Mazito.

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
Hiyo kawaida tu.
Ni sawa na wezi, yale majambazi kukamatwa ni issue ila tule tuvibaka ndo kila siku vinapigwa na kuchomwa moto regardless kaiba big gee au kipande cha mua.

Ila haya maisha bhana, siri yake anaijua muumba. Bora huyo kaambulia mtoto no matter yupoje.
Kuna dada mmoja ye alienda kubanjuliwa akiwa chuo 2nd year, akaambulia kudungwa mimba na UKIMWI juu. So sad!!!

Kweli siri anaijua muumba!
 

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,485
2,000
Hiyo kawaida tu.
Ni sawa na wezi, yale majambazi kukamatwa ni issue ila tule tuvibaka ndo kila siku vinapigwa na kuchomwa moto regardless kaiba big gee au kipande cha mua.

Ila haya maisha bhana, siri yake anaijua muumba. Bora huyo kaambulia mtoto no matter yupoje.
Kuna dada mmoja ye alienda kubanjuliwa akiwa chuo 2nd year, akaambulia kudungwa mimba na UKIMWI juu. So sad!!!

Na usikute hapo mwenyewe alikuwa kajitunza weee......still bado kaingia chaka
Maisha kwa kweli ni full majanga, rehema tu za mwenyezi Mungu zinahitajika sana
 

salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,442
1,225
When do you decide it whether to quit or go on? What makes you decide that? What if you is wrong?

There is no quitting in the business of awaiting the Lords biding, because it is like you are saying you decide to die just like al shaabab do; jambo moja tu uwe na hakika nalo ya kwamba mungu hampi mwanadamu jaribu asiloweza kulishinda vinginevyo asingeruhusu likujie. Yapo mengi nje ya uweza wako yamezuiliwa bali yaliyoko ndani ya uwezo wako yameruhusiwa; ni wewe tu na focus yako to determine your fate
 

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,959
2,000
Hii hutokea kwa wanaume pia, kama sie tunao tokea kwenye familia za pastors, Bishops. Una ambiwa ichukie zinaa, pombe na bata lote kwa ujumla kwa sababu huta uona ufalme wa mungu nk.
Unaweza jitunza halafu ukaishia kuja kupata partner ambae ni kama zimwi maishani mwako.
People should have fun but they should be careful majanga mengi siku hizi na pia elimu ya birth control inabidi itolewe mapema kwa sababu watu wana wahi sana kuanzia ngono siku hizi, hiyo ita saidia kupunguza mimba za utotoni, zisizo tarajiwa kuliko kuwatishia wangu kwamba wasifanye watakuja ungua jehanum.
 

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
1,767
2,000
well Lara 1 nakuelewaga sana na story zako! una unadeserve kua mwandishi/ mtunzi mzuri jinsi unavyojaibu kupanga mtiririko Wa matukio ya stori zako!!!

back to this topic,,,,,,
nmegundua vifuatavyo! ww ni Mdada wa wastani tu as nlivyoona kwenye maelezo yako 2003 ulikua form 3/4!
pia naomba nkuulize swali! unapata wapi muda wa kukaa na kuandika yote haya ?(hope umeajiriwa/umejiajiri) pia unajitahd sana kujib comments za watu!

kulingana na comments zako nilikua nakuchukulia kama Mdada flan wa mjin (inawezekana single mother) upo kwenye mid 40's! kumbe bado kabisa! !!!!
 

Chujio

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
804
225
Katika mazingira na hali nyingine tunazokutana nazo, all we say is "fix it Lord" maana there's nothing more that can be done to make it better, unajikusanya maisha yaendelee
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,003
2,000
Kitu cha kwanza cha thamani kwa mwanamke ni kujitambua...utambuzi utakaomfanya ajijue kuwa yeye ni nani kwenye jamii...utambuzi utakaomfanya ajue thamani ya tupu yake na kuuheshimu mwili wake...utambuzi utakaompelekea ajue maana ya tupu yake kuitwa sehemu za siri na si za kuonyeshwa na kila mtu...utambuzi utakamfunza kuwa thamani na heshima ya mwanaume haipo mfukoni mwake au kwenye tarakimu za akaunti ya benki bali kutokana upendo alionao juu yake....utambuzi wa kumfanya ajue kuwa si kila king'aacho ni dhahabu au almasi bali vingine ni vipande vya vyupa na vinaweza kumjeruhi akivichekea au kuvichezea....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom