Mwanamke uliyevaa suruali leo

Ungetuachaga tu mkuu
c70b54cbc68142d52ff50c33feb662c0.jpeg
 
Kuna mmoja aliwahi kukosa mume kwa sababu ya kuvaa visuruali mshenzi! Vile vinavyomchora maungo yake! Huwa anajuta hadi kesho. Aliapa kutovaa suruali tena.

Nilimshauri asijutie bahati ile bali ajitengeneze upya. Watakuja wengine tu.
Vp kashapata mkuu mana tunatofautiana ujue na maisha ya saiv ni connection kama hivyo
 
Naona umeamua Tu kuwachana wanawake.Japo swala la mavazi huwa kila mtu ana mtazamo wake.Naona wewe wanaume wale wanaovaa suruali za kubana hawakupi shida.

Samahani Kwa hili:Siku hizi unakuta mwanaume suruale inambana hadi habari zote zinaonekana,yani kupita suruale unajua hapa ni kibamia au mashine.
Kwa hiyo swala la mavazi lisikukoshe mke bwana wapo wengi wasiovaa suruali,kama kwako kutokuvaa ndo uadilifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom