Mwanamke uliyevaa suruali leo

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,935
22,919
Sisemi sana ila nataka tu utambue wewe si mwanamke

Sisemi sana ila nataka tu uelewe huna sifa za kuwa mwanamke

Sisemi sana nataka tu ufahamu kuwa katika list ya wanawake (haupo)

ILA HIII NI :

Kwa wanawake wote waliovaa suruali wengine mnaita taiti,wengine skini nk nk NA mnapita nazo barabarani

Wengine mmevaa hapo mpo ofisini mwenu mnapuyanga na suruali toka ingia

Suruali zimewachonga maungo yenu yani hadi mtu akikuangalia anajua urefu/upana wa naniii

nyie wote hiii ni yenu na hampaswi wala kukaribiwa

kupewa sifa za uanamke



HII HAIWAHUSU :

Wanawake mliovaa nilivyovitaja lakini mpo nyumbani

na kama umevaa upo nnje basi umepitisha kanga juu

Wote waliovaa nilivyotaja na wapo katka mazingira ambayo si Ya wazi (public) Haiwahusu hii



Wenye kuvaaa vitu vya namna hiiiiii (mshindwe na mlegeeee)👇👇👇

Hot-Fashion-Animals-Tiger-Skin-Tone-Women-Slim-Fit-Skinny-Leggings-Pants-Stretch-Trouser-For-L...jpg


 
Kuna mmoja aliwahi kukosa mume kwa sababu ya kuvaa visuruali mshenzi! Vile vinavyomchora maungo yake! Huwa anajuta hadi kesho. Aliapa kutovaa suruali tena.

Nilimshauri asijutie bahati ile bali ajitengeneze upya. Watakuja wengine tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom