Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

Mbona naona faida tupu Kijana wangu? Yaani umekula mzigo bureeee na 2.6M (yaani Faru John kama mia tano na ushee), umekula na good time hadi akina Halima wanasonya halafu Leo unalalamika nini??? Mimi ningemwambia tu kwa upole, Mzee mbona hayo matusi hayatoshi? Niongeze matusi mengine tafadhali, yaani ukiangalia value ya vitu na service ulivyopata contrary na matusi ukiyotukanwa bado unabaki na faida tupu
Matatizo kijana mwenzako alipenda ile in deep.
 
Hii story ni ya kutunga, kwasababu:-

Umesema huyo Baba/Kijibaba kilivyokuwa kinakuja (means amekuona) then akakaa na kusoma gazeti *****

Then akakuuliza...nyie ndio mnafuata wake za watu

Kwa mdadavuaji makini atagundua kuwa haiwezekani Mtu tajiri ambaye hajawahi kukuona kwake aje akikuface kisha aanze kusoma gazeti

2) Kwanini huyo binti hakukuambia kuwa kwasasa ameolewa na yuko kwake na Mume wake? Alishindwa nini?
 
1. Kuniona kaniona mpaka namsalimia ananikaushia

2. Haya ni moja ya maswali nayojiuliza sipati majibu

+nitunge stori humu jf simjui hata mtu mmoja ili nigundue nini sasa kwa mfano?????
 
Mkuu umegundua dawa.safii sanaa

Kula vyombo achana na wanawake hao wapo tuu..

Saka pesa jion jipumzishe navyesto barid moto au jizee la upako (jibapa)

Dawa haina stress,ila usinywe ukiwa na stress,wanawake wanaleta stress tuu
 
Hii story ni ya kutunga, kwasababu:-

Umesema huyo Baba/Kijibaba kilivyokuwa kinakuja (means amekuona) then akakaa na kusoma gazeti *****

Then akakuuliza...nyie ndio mnafuata wake za watu

Kwa mdadavuaji makini atagundua kuwa haiwezekani Mtu tajiri ambaye hajawahi kukuona kwake aje akikuface kisha aanze kusoma gazeti

2) Kwanini huyo binti hakukuambia kuwa kwasasa ameolewa na yuko kwake na Mume wake? Alishindwa nini?
kwahiyo mkuu....!
unamaanisha kuna kitu ametuficha kwenye hiyo scene..
 
Ikiwwzekana hama unapoishi,na badili namba ya simu kabisa kuepusha matatizo zaidi maana inaonekana mwanamke anakupenda ila nae analelewa na hilo lizee hivyo hana namna.
 
sasa we jamaa unataka ubebwaje hebu rudi kulima huko umepewa papuchi bure tv bure fridge bure umejioverdose kulala hotel ambazo ungekuja kulala ukiwa na miaka 60 na vingine hujasema pia umepewa mtaji ambao ulilidhika kabisa sijui bado unataka nini aisee kujua matumizi ya KY au.naomba namba ya huyo dada
 
Hebu malizia stori ...ulitukanwa tu ? Kuna kitu kina miss kwenye hii stori
Jikaze tu umalizie

Aisee unajua kupanga stori ikapangika hongera kwa hilo
 
Kata mtungi mkuu na kufanya mazoezi sana! Ila umekutana na kisanga! Kuna mahali umeruka lakini, namna ulivyoondoka ndani.

Uso wa nyoka labda muandishi kawacha nafasi ili wasomaji wajaze sehemu aliyo iacha.Kama umeona uwazi ongezea basi
 
Uso wa nyoka labda muandishi kawacha nafasi ili wasomaji wajaze sehemu aliyo iacha.Kama umeona uwazi ongezea basi
Hahaha! Nimeshindwa kuelewa alitokaje baada ya jamaa kuvunja simu yake na kumtukana. Naona kama kuna ya ziada ambayo hatujaambiwa kama kukwepa ngumi au kichapo heavy kilitembea na mambo mengine madogo kama hayo.
 
Pole sana mkuu... hizo nguvu ulizotumia kumtafuta ungetumia katika kutafuta maisha ungefika mbali sana. mimi nakuona una moyo wa ujasiri na kutokata tamaa imagine unapiga simu haipokelewi ila hukati tamaa unapiga tu hujui kama atapokea au laa we unapiga mara 14, sasa amishia juhudi iyo kwenye kutafuta utatoka tu cha msingi wewe forget about your penis kwa muda piga kazi maana hakuna cha bure.
 
We ulishapewa mbuzi ukawa unasubiri na kamba. Halafu kingine sidhani ka ulimbrush sawa sawa ndo maana akakuona huna jipya. Sasa hii mipombe siyo msaada kwako zaidi ya hasara tuu.! Nakushauri focus katika hicho kilimo
 
Back
Top Bottom