Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

Umenichekesha sana uliposema




Akanipa juice huku usoni ana ka userious flan hv
 
Aise inasikitisha sana kwa mtu ambaye unaempenda then akukatie mawasiliano bila sababu yeyote at least ange kupa last Goodbye
 
Huyo "tembo mtoto" labda alikuwa kasafiri nje ya nchi kwa kipindi kirefu. Bidada akafikiria mazoezi ya gym yatasaidia kupunguza nye..ge lakin akaishia kutamani kugegedana.lol. Alipokuchunia jamaa alikuwa kesharudi akaogopa kujiharibia. Nextime hawara/ mchepuko akikuchunia na ww chuna coz hujui sababu ni nini.
 
Shukuru alikupa mtaji mkuu hayo mengine chukulia kama changamoto za kimaisha.
Usawa huu upewe mtaji bado unawaza mapenzi?Hakutaki poa songa mbele shukuru amekutoa kimaisha pambana ili siku akikukuta tena wewe umekuwa mtu tofauti mpaka akutamani na akumbuke old times.
Hapo ingekuwa mimi hata siwazi chamsingi alinisaidia namshukuru tu.
 
Hao dk Tatu mbele Tatu nyuma ndo walivo akipigwa chini atakukumbuka cha msingi komaa na maisha ukiwa fresh mrudishie mtaji wake
 
I hv just loved ur story, u 4got ur primary object, how to get rid of hardship life, she helped u, yes, sex is an auxiliary so oay no attention to it.
 
Mbona naona faida tupu Kijana wangu? Yaani umekula mzigo bureeee na 2.6M (yaani Faru John kama mia tano na ushee), umekula na good time hadi akina Halima wanasonya halafu Leo unalalamika nini??? Mimi ningemwambia tu kwa upole, Mzee mbona hayo matusi hayatoshi? Niongeze matusi mengine tafadhali, yaani ukiangalia value ya vitu na service ulivyopata contrary na matusi ukiyotukanwa bado unabaki na faida tupu
 
Kata mtungi mkuu na kufanya mazoezi sana! Ila umekutana na kisanga! Kuna mahali umeruka lakini, namna ulivyoondoka ndani.
 
Mbona kama kuna tukio lilitokea siku hiyo ukalikumbuka ukaamua kuikatisha na story yenyewe, ninaamini kuna ka kipande hukakiweka humu, kaza moyo tuambie , jiliwaze na ule usemi wa mla vya wenzake......!!!
..nazani kinacho msikitisha ni kuliwa 0712 bila kilainishi si vinginevyo,..
 
Jamaa yetu pole sana ebu tuweke WAP hukuliwa 0713 kweli kuwa muwaz
 
Pia
Hainaga ushemeji tunakulaga...

Yaani japo ni feki ID lakini huwa zinareflect kwi kwi kwi!

Back to hiyo bidada, huyo mwanamke ni mchafuzi tuu na ana tamaa za kingono na wala hata hana mapenzi na yeyote kati yenu wawili!

Hicho kibwana chake ka kitoto cha tembo anakipendea hela na wala sio kusuguliwa!

Na wewe alikuwa anakusaidia kimaisha ili umsugue kamaliza haja zake kakukaushia na atakuwa anafanya hayo kwa wanaume wengi tuu choka mbaya!

Advise: Mind your own business (tungi haikusaidii kitu)
Poa mdada!!
 
Back
Top Bottom