Mwanamke ni Terrorism

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
WANAWAKE ni ma TERRORIST in Nature...!!

Mwanamke anaweza KUMTEKA mtu kwa SAUTI yake Tu....

Ndo maana hata ukipiga simu ikawa Haipatikani, unajibiwa na Mwanamke... "Thenkyu Fo Chuzing Vodacom Network...."
Ole wao Mtandao watakaojidandanya kuweka Sauti ya Kiume.

Watabakiza wateja Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Kampuni.
MWANAMKE ana SAUTI YA UTEKAJI nyara Ngoma Za Sikio la MWANAUME....

Akikubania sauti akaongea ile Sauti ya Nyau ya Mahaba Niue "Ooh Baby, mi nataka uninunulie Gari nimechoka kubanana kwenye Daladala.... Mwaaaah.!"

Hapo ndipo utakapoenda Kijijini KUUZA lile SHAMBA LA URITHI umnunulie mrembo TOYOTA IST, wakati we unatembelea Guta alilokuachiaga Babu.
Jamani WANAWAKE NI ma TERRORIST wakubwa kuliko Al Shabab.

*Sio wote maana wengine sauti zao ZINAKOROMA Kama MASHINE ya KUSAGA...!!

Hata akisema aimbe kwaya wanamuweka kwenye Sauti namba 271....!!!

Huyo hata adeke vipi unamtazama ka KIPOLO CHA MAKANDE ya Juzi.
Hahahaaaaaa....

Natania Tu jamani japo Nimesema.
 
we jamaa una pumba sana,asa UGAIDI hapo umeingiaje,
nyumbu!
 
Back
Top Bottom