Mwanamke ni mwema muwapo kitandani

moses musa

Senior Member
Apr 25, 2017
164
97
Habari za usiku huu wakuu,

Kuna dada mmoja jirani yangu, binamu yangu, alipigwa na kutukanwa sana na mume wake, kiasi cha kutoludiana tena.

Leo wamerudiana, wazazi wa binti wametukanwa, siyo vizuri lakini usiku mmoja kitandani kwisha habari yake akikiri kutojaribu kumkaribisha tena, inauma sana dada zetu, haya angekuwa kwenye mahusiano na mume mwingine hamjachomana visu?

Nawasilisha tu!
 
Habari za usiku huu ,wakuu ,kuna dada mmoja jirani YANGU,binamu YANGU ,alipigwa na kutukanwa sana na Mme wake ,kiasi cha kutoludiana tenaa ,Leo wamerudiana ,wazazi wa binti wametukanwa,hadi siyo vizuri ,lkn usiku mmoja kitandani kwisha habari yake ,akikiri kutojaribu kumkaribisha tena ,inauma sana dada zetu ,haya angekuwa kwenye mahusiano na Mme mwingine hamjachomana visu?nawasilisha tu!!!
Umeandika nini? Mimi sijaelewa nilidhani umeandika majibu ya chemistry paper 2A.
 
Japo hujaandika vizuri ila nmejaribu kuelewa....hua sioni sababu ya kutoleana maneno machafu mnapoachana...mwenzenu hua nakua tuu bubu kw ghafla maana dunia inazunguka hii....aibu sana kwa wazazi wa huyo Dada
 
Sioni ajabu mbona hata darasani ulikuwa unashika nafasi ya kwanza kutoka mwisho
 
Back
Top Bottom