Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

Tofauti ni kuwa mwanamke anajifunza baada ya makosa.....na mwanaume anajifunza kupitia makosa......
 
bora hata angekuwa bao .. Kwa umri alio nao sasa hvi angekuwa ameshapigwa nyeto tayar au angekuwa ameozea kwenye kondom...

Ni afadhari kuozea kwenye kondom kuliko kutupwa kwenye jalala ndani ya mfuko wa rambo huku unakufa unashuhudia ukatili wa mwanamk.
 
Mi ninachojua kwa mwanamke mwenye msimamo..anaweza kuvumilia mengi ila pale atakaposema imetosha harudi nyuma.
unakumbuka uzi wa yule mtoto aliypigwa na housgirl,wengi(including me)walisema wanaeza kuua.
chief sio wote waendao jela wana makosa kuliko wewe uliye nje.ni reactions tu ndo zimetofautiana
kuumizwa na jambo huwezi kujua utafanya nini hadi jambo likufike ndugu yangu,msiba uskie kwa mwenzio
kuna mwingine alisema yeye ni mvumlivu na anampenda mumewe sana siku aliletewa mtoto mdogo kuliko wake alikua wa kwanza kubeba begi

a woman is the srongest,yet weakest
a woman is sweet,yet bitter
It only depends what triggered all he four.
 
Mimi naona umepatia kweli yaani hawa mtu acha kabisa
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .
 
mnachosha na topic za kulaumu wanawake khah nyie hamjioni au, kuweni creative tafuteni topics mpya. kama tu wakatili mnatutongozea nini kama sio unafiki tu.
 
:a s 13:
shetani anatumia silaha hatari sana iitwayo mwanamke ili kumtia matatizoni au kumwangamiza kabisa mwanaume:- cjui kama mnakumbuka eva alivyomtia majaribuni baba yetu adam.....au mmesahau mbabe samson alivyoingizwa mkenge na delilah.......jaman pamoja na kwamba hawa viumbe ni mama zetu, dada zetu na pia ni wake zetu lakin mjue mtoa mada yuko sahihi
 
Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!

Hilo sasa ni tusi,ebu jaribu kumjibu kwa hoja maana yeye katoa mtazamo wake hajamtukana mtu hapa.Mambo ya mdingi wake yameingiaje hapa
 
Mtoa uzi nadhani mfumo dume unakusumbua sana.. U expect a woman not to react once provoked.. Hilo la ukatili unalolisema liko sana kwa wanaume ambao wanaweza kufanya ukatili bila ya kuwa provoked (unless kama kuua kwa ajili ya kupata kiungo cha binadamu au kuua kwa ajili ya kupora hela na mali unaiita ni provocation)..
Umetoa mfano hapo onyo alilokupa mke wako.. Huwezi kuthibitisha alichosema ndicho ataweza kukitenda.. Lakini hebu akuulize na wewe kama akikuzalia mtoto ambae sio wako utafanya nini wewe..?
 
Mwanamke by nature ni mvumulivu sana hasa katika maswala ya ndoa,,,, lakini once akisema inatosha huwa inatosha kweli,,,,,,, huwa hawana point of return,,,,,,ndiyo hapo anapoonekana katili,,,,

yaani siku hizi ukiingia Jf ni wanawake wanawake tu yelewiiii
Itezi asante point zako ni sahihi
 
kwani wanao tupa watoto jalalani si hao hao dada zetu au una fikiri akina nani , wanaoenda kwa waganga kutafuta dawa za kuwauwa wanaume zao si hao hao dada zako . usikalili maneno ya mitaani
WEWE UNA MISONGO YAKO !! vipi ujumuishe na ujumlishe "ke" WOTE ?!! Khaah hao watoto waliletwa na nani? Na hao waganga nao ni wanawake?!! (majoritz Me) Umeegemea kuti kavu au hujitambui kimaisha!!!
Heshima kwa Wanawake itakuwepo juu na pale pale As mothers /sistaz/Wifu/Granny/GF/Auntiz !!
 
Tungekuwa na roho mbaya sidhani kama mama yako angekulea mpaka hapo ulipofika na kuanza kuandika pumba ulizoziandika.
 
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .

Ndugu Kumbuka aliyekuzaa, akakulea mpaka ukaweza kuandika maneno hayo ni huyo mwanamke unaemsema vibaya.
 
Back
Top Bottom