Mwanamke ni Chombo cha starehe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Thibitisha kauli hii kwa mifano hai ya wanawake unaoishi nao katika jamii,

Kwa nini wanawake wanachukuliwa kama chombo cha starehe?

Hawajui kutafuta pesa,wanapenda slope slope sana (vislay queen)

Au ni kwa sababu wao ni tegemezi kwa wanaume ata kama watakuwa na sehemu zao za kujipatia kipato?

Toa sababu.


CC Zero IQ
 
Mkuu nnavyowapenda hao viumbe unawaita chombo cha starehe!!
Kenge kabisa wewe
 
Back
Top Bottom