Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Sasa kwa maana hiyo ndiyo nilikuwa nakupinga ulivyosema kuwa eti ni ngumu kumkuta mwanaume anajiuza, ndiyo nikakuambia kuwa mbona wapo wanaume wengi wanaojiuza kwa wanawake ili wapate hela sema ni vile tu wanaume wao hawajipangi barabarani kama wanawake ila haibadili ukweli kuwa wanajiuza.
Wapi nimesema vitu vyote vinavyojiuza hadi viwe barabarani?

Mimi nazungumzia makahaba hawa tunaowaona kila siku wapo barabarani wanajiuza kama kuna wengine huko wanajiuza hawapo barabarani sio tatizo kwa kuwa wanajiuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii dhana ya Chombo Cha Starehe, unaikuza tu! Kwa sababu wanawake wao naona wako kimya kuhusu mwanaume pia kuwa Chombo Chombo Cha Starehe.

Ngoja nikupe simulizi fupi kidogo!
Miaka ya nyuma kulikuwa na sabuni inaitwa Lexon, sabuni ya Warembo! Ni Kama baadae zilivokuja sabuni za Jaribu!

Sasa Vijana wa wakati huo walianza kujiita Lexon sabuni ya Warembo, maana yake Wanawake walikuwa wakipata Starehe kutoka kwa akina Lexon wa wakati huo sawa na Jaribu kwa miaka ya karibuni!

Nije kwenye mada!

Mwanamke ni Chombo.....! Chombo ni nn? Na Chombo Cha Starehe ni nn??

Kama hoja yako imejikita katika kupapasa, sijui blow job, kuzama chumvini, kutiana na kupizi ndo ukaita Chombo Cha Starehe basi umepotoka! Nafasi ya mwanamke haiwezi kupimwa katika tendo mnaloshiriki wote faragha! Maumbile ya kibaiolojia hayawezi kufanya mwingine awe Chombo na mwingine asiwe Chombo!

Unapomtumia ni muda huo huo na yeye anakutumia! Tena inafikia sehemu wew mfuko unakutoboka ili kumstarehesha na wew kukustaheresha!

Kimsingi Kama wewe Starehe yako unaipata katika faragha na mwanamke, Kuna mwanamke mwingine nae Starehe yake anaipata katika faragha na mwanaume! Je, aje aclaim kuwa mwanaume ni Chombo Cha Starehe!

Hilo jukumu ni tu Kama yalivyo majukumu mengine, ni reproductive role kama zilivo roles nyingine zinazofanywa na mwanamke na mwanaume! Wewe kinacho kuponza na kuibuka na hoja kama hizo ni huo uume, unauona Kama una thamani kubwa kuliko uke.

Lakini ukitaka kuzungumza kuhus mwanamke neutrally ondoa biological difference, focus on ubinadamu! M-judge kwa kufocus katika ubinadamu wake, na siyo uanauke wake! Ukiondoa hilo utakuta kwamba mwanamke ni Kiongozi wa familia, mwanamke ni mlezi, mwanamke ni mfariji, mwanamke ni mtafutaji, mwanamke ni mchapakazi ofisini na nyumbani, mwanamke anaweza kuinfluence uchumi wa kaya au Taifa!

Ngoja tu niishie hapa, niende shambani kupalilia kunde!

Lugumya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes lakini fanya kazi kwa bidii ili uwe na mafanikio otherwise hawawezi kukuheshimu.

Huwezi ukapata starehe toka kwa mwanamke bila kuwa na ujasiri mfukoni..

Wanaume wengi huwa wanaishia kulia lia eti wanawake wao wanawadharau.....mwanamke atakudharau kivip kwanza...? Anaanzaje?

Kwa mwanaume kama huna nguvu za kiume za mfukoni Yes lazima udharauliwe na mwanamke hawezi kukupa starehe uitakavyo!!
 
Japo sijasoma yote ila heading inatosha kukujibu, Umeongelea wanawake unaokutana nao tu barabara au hadi wazazi wako, dada zako na ndugu zako wa kike pia umewajumuisha pamoja. Before ujatumia neno wanawake jaribu kufikiria kwamba hao hao ndo muunganiko wa mama zetu, dada zetu pamoja na ndugu zetu wadada na wamama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema wanawake, unafikri yeye hajui kama mama yake ni mwanamke.
Msipende weakness za Hovyo.
Wanawake wote ni chombo cha starehe,
Mama yako ni chombo cha starehe cha baba yako, Dada yako ni chombo cha starehe kwa njemba zingine.
Tunapokezana vijiti.

"WANAWAKE NI CHOMBO KIKUU CHA STAREHE"
 
Pengine ulikuwa na hoja nzuri ila uwasilishwaji ndo mbovu ambao hauna adabu

Hoja yake Ina msingi sana,. Alichokosea aliposema kuruhusiwa wake zaidi ya mmoja. Maana Imani zingine zinaruhusu mke mmoja tu. Mengine yote yupo sawa,alitakiwa aongeze kuwa, hata wanawake wenyewe wanajijua kuwa NI vyombo vya starehe ndiyo maana kwa Sasa wanafanya Sana biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hafanyi biashara ya ngono ili kukustaheresha! It's sexual work. Wew ndo unakuwa kichwani na dhana hiyo! Na hizo ni diversities tu, as human beings are not homogeneous!

Ujue wanaume nao wanafanya biashara ya ngono! Nao ni vyombo vya Starehe? Biashara ya ngono should not be used to justify mwanamke kuwa Chombo Cha Starehe as men also are equal partners of the business!

Na hiyo sababu dhaifu ya kuformalize hoja yako.
Hoja yake Ina msingi sana,. Alichokosea aliposema kuruhusiwa wake zaidi ya mmoja. Maana Imani zingine zinaruhusu mke mmoja tu. Mengine yote yupo sawa,alitakiwa aongeze kuwa, hata wanawake wenyewe wanajijua kuwa NI vyombo vya starehe ndiyo maana kwa Sasa wanafanya Sana biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa maana hiyo ndiyo nilikuwa nakupinga ulivyosema kuwa eti ni ngumu kumkuta mwanaume anajiuza, ndiyo nikakuambia kuwa mbona wapo wanaume wengi wanaojiuza kwa wanawake ili wapate hela sema ni vile tu wanaume wao hawajipangi barabarani kama wanawake ila haibadili ukweli kuwa wanajiuza.
Huo ni mtazamo wako mkuu.

Makahaba wanajulikana namna zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hafanyi biashara ya ngono ili kukustaheresha! It's sexual work. Wew ndo unakuwa kichwani na dhana hiyo! Na hizo ni diversities tu, as human beings are not homogeneous!

Ujue wanaume nao wanafanya biashara ya ngono! Nao ni vyombo vya Starehe? Biashara ya ngono should not be used to justify mwanamke kuwa Chombo Cha Starehe as men also are equal partners of the business!

Na hiyo sababu dhaifu ya kuformalize hoja yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anafanya biashara ili akuchukize sio ?

Yeye snafanya biashara ili wewe ustarehe na yeye apate pesa.

Kwa hyo wewe umepata faida ya kustarehe na yeye amepata faida ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii dhana ya Chombo Cha Starehe, unaikuza tu! Kwa sababu wanawake wao naona wako kimya kuhusu mwanaume pia kuwa Chombo Chombo Cha Starehe.

Ngoja nikupe simulizi fupi kidogo!
Miaka ya nyuma kulikuwa na sabuni inaitwa Lexon, sabuni ya Warembo! Ni Kama baadae zilivokuja sabuni za Jaribu!

Sasa Vijana wa wakati huo walianza kujiita Lexon sabuni ya Warembo, maana yake Wanawake walikuwa wakipata Starehe kutoka kwa akina Lexon wa wakati huo sawa na Jaribu kwa miaka ya karibuni!

Nije kwenye mada!

Mwanamke ni Chombo.....! Chombo ni nn? Na Chombo Cha Starehe ni nn??

Kama hoja yako imejikita katika kupapasa, sijui blow job, kuzama chumvini, kutiana na kupizi ndo ukaita Chombo Cha Starehe basi umepotoka! Nafasi ya mwanamke haiwezi kupimwa katika tendo mnaloshiriki wote faragha! Maumbile ya kibaiolojia hayawezi kufanya mwingine awe Chombo na mwingine asiwe Chombo!

Unapomtumia ni muda huo huo na yeye anakutumia! Tena inafikia sehemu wew mfuko unakutoboka ili kumstarehesha na wew kukustaheresha!

Kimsingi Kama wewe Starehe yako unaipata katika faragha na mwanamke, Kuna mwanamke mwingine nae Starehe yake anaipata katika faragha na mwanaume! Je, aje aclaim kuwa mwanaume ni Chombo Cha Starehe!

Hilo jukumu ni tu Kama yalivyo majukumu mengine, ni reproductive role kama zilivo roles nyingine zinazofanywa na mwanamke na mwanaume! Wewe kinacho kuponza na kuibuka na hoja kama hizo ni huo uume, unauona Kama una thamani kubwa kuliko uke.

Lakini ukitaka kuzungumza kuhus mwanamke neutrally ondoa biological difference, focus on ubinadamu! M-judge kwa kufocus katika ubinadamu wake, na siyo uanauke wake! Ukiondoa hilo utakuta kwamba mwanamke ni Kiongozi wa familia, mwanamke ni mlezi, mwanamke ni mfariji, mwanamke ni mtafutaji, mwanamke ni mchapakazi ofisini na nyumbani, mwanamke anaweza kuinfluence uchumi wa kaya au Taifa!

Ngoja tu niishie hapa, niende shambani kupalilia kunde!

Lugumya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika mengi bila kujua hoja yangu.

Kwanza nikuulize ya kuwa kwa mujibu wa nani ati ukisema mwanamke ni chombo cha starehe ndo umemshusha thamani na kumdhalilisha ?

Waoi nimesema kuwa mwanamke hawezi kukuza uchumi na kuwa mtu muhimu katika hii thread yangu ?

Hapa nazungumza mimi usiniletee mawazo ya watu wengine ukayafanya ndio yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes lakini fanya kazi kwa bidii ili uwe na mafanikio otherwise hawawezi kukuheshimu.

Huwezi ukapata starehe toka kwa mwanamke bila kuwa na ujasiri mfukoni..

Wanaume wengi huwa wanaishia kulia lia eti wanawake wao wanawadharau.....mwanamke atakudharau kivip kwanza...? Anaanzaje?

Kwa mwanaume kama huna nguvu za kiume za mfukoni Yes lazima udharauliwe na mwanamke hawezi kukupa starehe uitakavyo!!
Yes Mkuu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah! Hilo la kustarehe wew ndo unakuwa nalo kichwani! She is in business, you're for excitement! It's not her business to know whether you're excited or not!
Sasa anafanya biashara ili akuchukize sio ?

Yeye snafanya biashara ili wewe ustarehe na yeye apate pesa.

Kwa hyo wewe umepata faida ya kustarehe na yeye amepata faida ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umegeneralize, mwanamke ni Chombo Cha Starehe! Wew ni Chombo Cha nn? Au hoja yako ililenga nn? Kwamba mwanamke ni Nani?

Back
Top Bottom